Muda wa kufanya tendo la ndoa baada ya kujifungua

Alikua amefanyiwa operation? Hapo sawa...
Kwa sisi tuliopush ni siku 40 tuu..sasa hapo inategemea ntu na ntuee 😂 😂 😂
Hapana alijifungua kawaida sema nilikuwa nje ya nchi nikamuacha hapa bongo sema kule nilipo kuwepo nilishindwa kuvumilia nikacheat 🤣😂😁
 
Kawaida yenu hyo haina kushangaa... 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom