Muda wa kufanya tendo la ndoa baada ya kujifungua

Alikua amefanyiwa operation? Hapo sawa...
Kwa sisi tuliopush ni siku 40 tuu..sasa hapo inategemea ntu na ntuee πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hapana alijifungua kawaida sema nilikuwa nje ya nchi nikamuacha hapa bongo sema kule nilipo kuwepo nilishindwa kuvumilia nikacheat πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜
 
Hapana alijifungua kawaida sema nilikuwa nje ya nchi nikamuacha hapa bongo sema kule nilipo kuwepo nilishindwa kuvumilia nikacheat πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜
Kawaida yenu hyo haina kushangaa... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…