Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He!!!!....mbaroni tena!Hujatembea na leseni gari unaipeleka kituoni mpaka ulete leseni, tena utawekwa na mahabusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usi generalized kwa kusema dunia nzima kua specific na cite relevant authority kama mtoa mada alivyofanya.Mkuu, Naona umeamua kuziasi sheria za usalama barabarani na kwa makusudi kabisa unajaribu kuwafundisha wengine kuwa,..ukikamatwa unaendesha gari bila leseni si kosa.
Hii si kweli kabisa, vyuo vyetu vinamtaka dereva kuwa na leseni aendeshapo gari na hakuna namna unaweza kujitetea kuwa:.. sheria hazisemi kama huna ufanywe nini...
Siyo Tanzania tu, Dunia nzima ukikamatwa unaendesha gari bila leseni... utaadhibiwa !! Labda kama unaendeshea gari porini kusiko kuwa na wasimamizi wa sheria za barabarani.
Uzi huu lazima niubebe niwatunishie kifua askari siku nikidakwa bila leseni
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu naomba unitag.Swali: Utamthibitishia vipi askari kwamba utarudi kumuonyesha leseni kabla ya muda wa kisheria haujapita, ilhali mmekutana tu barabarani?
Sent using Jamii Forums mobile app
usi generalized kwa kusema dunia nzima kua specific na cite relevant authority kama mtoa mada alivyofanya..
Mtoa mada yupo sahihi watu wengi hatujui haki zetu na ndo maana tunaonewa na traffic barabaran.. Ukisimamishwa na traffic na huna lesen kwa wakat huo una haki ya kumtaka akueleze ni kituo gani ukaipeleke hiyo leseni yako.. someni hzi sheria jamani sio mnapinga pinga bila relevant authority.
Babu Msomali
Sent using Jamii Forums mobile app
by professional huyo unayemdharau ni "MWANASHERIA na MSHAURI WA SHERIA" Nimefurahi kumkuta humu na Ninamuheshimu sana!.swali gani unamuuliza huyooo si unaona hajibu maswali au ndo unataka aasi uzi wake 😀😀😀😀😀 ila akikujibu naomba unitag mkuu
Uzi huu lazima niubebe niwatunishie kifua askari siku nikidakwa bila leseni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hakikisha tu gari yako haina makosa zaidi ya wewe tu kutotembea na leseni, Hawachelewi kukubadilishia kosa na ukaambiwa gari yako tairi kipara au gari yako inatoa moshi sana.Uzi huu lazima niubebe niwatunishie kifua askari siku nikidakwa bila leseni
Sent using Jamii Forums mobile app
ok itakuwa vyema maana najua atakuja kutujibu tulomuuliza maana 30 si ndogo.ila sheria inasema kuwa dereva yampasa kuwa na lesse yake pindi aendeshapo,anyway atakuja kutujibu banaby professional huyo unayemdharau ni "MWANASHERIA na MSHAURI WA SHERIA" Nimefurahi kumkuta humu na Ninamuheshimu sana!.
hata ka ni hivyo unaweza ambiwa peleka gari kituoni mpaka ukalete lesseni yako nkweli hujatozwa hela ila utapoteza muda na gharama nyingi wakati mwingine kuliko hata hiyo 30, nadhani ni busara na kujitahidi kuwa nazo wakati wote kuepusha hizo mambo za kuambiwa kaileteMkuu hakikisha tu gari yako haina makosa zaidi ya wewe tu kutotembea na leseni, Hawachelewi kukubadilishia kosa na ukaambiwa gari yako tairi kipara au gari yako inatoa moshi sana.