Muda wa Kustaafu kwa watumishi wa Umma upitiwe Upya

Ndio haya haya majinga yamo humu yanatetea matumbo yao yanaandika hoja mfu zisizo na maana kujilinda ,
 
Well Said

Hivyo vyote vinategemea kitu kimoja cha muhimu "VISION"

Wewe umesema hivyo kwasababu yamkini una Vision, lakini take it from me....Watumishi wengi wa Tanzania hawana Vision, jaribu kumuuliza Mwajiriwa yeyote kuwa utaajiriwa mpaka lini,au ukifikisha 45 utakuwa umewekeza wapi au utakuwa na kampuni gani? HAJUI

Na Serikali nayo inawapenda watumishi hao waitumikie ndio maana haiwatengenezei mazingira, mbaya zaidi kwa TZ, SIASA ndio ina nguvu ya kuamua mpaka kutunga sera...juzi hapa ndio serikali imekuja na kitu kinaitwa DIRA YA TAIFA
 
Na kwa akili hii ndo maana huwezi kuajiliwa na hautaajiliwa Kamwe. You are very depressed over normal.
 
Nchi hii imeridhi mambo yote ya hovyo ya kijamaa
Ujamaa ndio umedumaza akili za haya majitu , yakipata ajira za serikali yanaona ni kama mali zao au nyadhifa zao za kudumu , delivery na efficiency yenyewe ni almost zero
Kuleta visingizio mfu tu vya kipuuzi
Tunaweza Leta reform ya kupunguza mafao ,kwani huko private sectors watu wanafanyaje kazi ? , yaani ushindwe kufanya maendeleo kwa kutumiaa mshahara wako unaopata ,usubiri mafao , akili za kipuuzi kabisa hizi .
Ndio maana yanakufa masikini
 
Kama unataka uingie huko serikalini tafuta gap ujichomeke uanze kusifu na kuabudu acha kelele. Mawazo yako hayana uhalisia hata dahari.

Huku Mabumbini ukija na hizo akili zako na u much no😄😄😄😄 utajuta kuzaliwa.

Pia kama Canada hapakutoshi njoo huku mavumbini, stop dreaming!!!
 
Kwenye pendekezo lako umeacha kushauri kitu muhimu sana, labda ufanye marudio uelezee vipi mfuko wa wastaafu utamudu malipo na kumudu changamoto za
1. Ongezeko kubwa la wastaafu,
2. ambao hawakuchangia ipasavyo yaani muda wa wao kuchangia umekua mfupi.
3. Malipo kwa wastaafu yatakua zaidi sana sababu wanastaafu Bado wadogo na mpaka wafike uzeeni Mungu awachukue itakuwa miaka mingi
Kwa kifupi Kuna changamoto ya pesa kulipia pendekezo lako.
 
Upo sawa , je private entity wanamifumo thabiti …. I think we can learn
 
Taahira wewe , nilivyoona tu hiyo avatar yako nikajua huna ubongo ,bali mavi ya ng'ombe kwenye hilo fuvu lako


Utalia mtoto huna adabu wewe, pumbaf kabisa, hooligan, nitakutandika ushike adabu na utajutia, nyoko wewe, hujatiwa adabu, i can teach you a lesson, huna adabu, stupid..!!
 
Uwe miaka 68 kama ambavyo Mbowe anaenda kustaafu uenyekiti wake maana watumishi walioko makazini wanaamini hakuna mbadala wao wa kuweza kutimiza shughuli za kiutumishi mahali pa kazi
 
Nikusahihishe kidogo, mafao siyo charity kwa mfanyakazi, siyo huruma ya serikali, bali ni haki ya mtumishi (private/government sector). Pesa alilizokuwa anakatwa kwenye mshahara wake kwa miaka yote ya utumishi. Anapostaafu hurudishiwa ila kidogo kidogo ili asije kuzitumia vibaya akataabika baadae (hii kauli ya kuzitumia vibaya ilitolewa na serikali). Ndo maana wastaafu hupata nguvu ya kutaka serikali iongeze kikokotoo sababu pesa ni yao. Kiuhalisia pesa yote ya makato ilitakiwa arudishiwe mfanyakazi baada ya kustaafu, lakini kwa sababu za kihafidhina hupewa kidogo. Ndo maan wengine huacha ajira serikali I na kuingia uraini kupambana.

Ajira ni nzuri km hauna ila ukiipata hasa hizi ajira za wanyonge utajua moto wake. Ila heri kuwa nacho hata km ni kidogo kuliko kutokuwa nacho kabisa.

Kila la heri kwenye mapambano ya ajira.
 
Kwani huko vyuoni wengi ni Wazee au matunda ya wazee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…