Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa population growth ya 3% hata umri wa kustaafu gani hautamaliza matatizo.Huwezi kuwaambia freshers wajiajiri wakati hakuna hayo mazingira kuanzia kwenye kodi hadi kwenye mazingira.
Mfano, Canada, wahitimu wanaweza kupeleka business Proposal yao kwa Wizara husika, mainjinia; kuomba ufadhili wa pesa wenye riba nafuu, gvt ikielewa proposal yenu mnapewa fund. Opportunities Kama hizi kwa nini uwaze kuajiriwa?
Unakuta mtumishi wa Umma, anamiaka 55 ofisini, anafanya nini? Kama alishindwa kuiletea taasisi maendeleo in his 40, ataweza kuleta maendeleo in his 55 or so ? Kama umeajiriwa in your 30s na una miaka 55 and still serikali inakuhitqji kama mtu muhimu, maana yake wewe sio kiongozi mzuri…..na ni selfish…. Hukuandaa watu ili uendelee kuhitajika even in your death .
Zamani ilikuwa sawa, wazee walikuwa na material sana na hatukuwa na technology ya kutosha hivyo vijana ilikuwa lazima wajifunze kwa old people . hata kwenye medicine ilikuwa ivo, doctor anaweza pewa mkataba wa nyongeza afike hata 75, not now…. We are guided by advanced science and technology , artificial intelligence and automation, everything is there depending on how you are proactive.
Ushauri wangu kwa Serikali dhidi ya Mabadiliko ya muda wa kustaafu:
1. Lazima vijana wawe encouraged Kustaafu in their 45. Iwe hivi, mtumishi akifika 45 na akaomba kustaafu, basi apewe PENSION yake yote ili aende mtaan akaendeleze ajira. Huu ndio Umri wa kazi na energy ipo juu, ni rahisi mtu huyu kutoa ajira kwa vijana wengi along the way. Wazee wengi wa 60 wakistaafu ndio wanaenda kuanzisha miradi mtaan, huwa inakufa na kupoteza pesa sababu energy ipo chini na hardly kufika 75 to 80. It is sad but true 😭
My dad retired in his 47, na akaingia mtaani. Ben akaja akampa appointment ya U DG kwenye taasisi ya Umma. Akafanya kazi 5 years only , in his 52 …. Akarudi kwa Ben akamuomba mawazo mapya yachukue Ofisi, I have done my share for 5 years in a row . watumishi wa sasa wanaona utumishi ni kama ndoa ya kikatolic, ndio yanazaa ujinga kama usinichezee nitakuharibia… unanijua mimi…. Yaani mtu anaongea as if yupo kwenye ofisi ya Baba yake, anasahau kama yeye ni public servant and he is temporarily located .
2. Umri wa kustaafu wa HIYARI uanzie miaka 48. Bado tunaamini mtu wa 48 ni kijana mwenye nguvu ataisaidia jamii mtaani. Huyu pia apewe PENSION zake kwa pamoja
3. Miaka 52 uwe ni UMRI wa lazima kustaafu, huyu apewe only 40% ya mafao yake.
4. Kazi za Umma ziwe za MKATABA MAALUM. Minimum 5 years, maximum 10 years
Kwenye Cycle ya maisha, in your 25 to 30 unatakiwa uwe umeshaamua unataka kuwa nani au nini!! In your 30 to 40 unafanyia kazi ulichoamua, ni golden age of building your empire . In your 40 to 47, unakuwa leader and showing the way , unaandaa wengine waje kutake over. Ukiona in your 50 bado unapambana na maisha, unaamka asubuhi saa kumi na moja kupambana na maisha, ujue in your 25 to 30, hukufanya decision sahihi, in your 40 to 47 , hukuandaa watu , mwendo wa kutoboa likelihood umepungua kwa asilimia. matokeo yake unakuwa mlarushwa na dili fake kwenye taasisi za umma.
Above 50 unatakiwa kuwa mshauri mkuu na mkusanyanya
Maokoto…. Unaamka saa mbili na kuchungulia miamala….that means you had better decision in your early age, and ukaandaa watu in your middle age . Hii ndio Philosophy ya wahindi, wasomali, wazungu and some arabs .
Naishauri serikali kuangalia namna ya kuwapatia fund wahitimu waliomaliza wakaungana let’s say 2, wakaja na proposal kwa mfano tunataka kuanzisha Hospital . Tutaajiri wahasimu, doctors nurses etc etc . wafamasia wakaungana wataanzisha viwanda vya dawa… hospital zitapata huduma za dawa from local , same to injinia
Pia , serikali ishushe muda wa kustaafu as proposed ili kuleta tija, utumishi isiwe kama ndoa za Kikatoliki.
Conflict of interest declaration; nina miaka 36 , ajira yangu ya kwanza ilikuwa mkoani Kagera, nilifanya kazi 48 hrs tu . Nikakimbia mazingira. Wizara ya Afya ikanipqngia Ocean Road. Nikafanya kazi OCean road 5.5 years na kukimbia.
Dr Megalodon
WHO Regional Office,
Rue 52, Ottawa
Canada 🇨🇦
Hata wote wakistaafu wenye 40+, tatizo litakuwa palepale. Ajira zote za serikali hazifiki milioji moja, wanaohitaji ajira ni zaidi ya milioni kumi na kila siku wanaongezeka.Huwezi kuwaambia freshers wajiajiri wakati hakuna hayo mazingira kuanzia kwenye kodi hadi kwenye mazingira.

Ukiajiriwa utakana maandishi yako,anyway unaelewa maana ya seniority katika kazi na faida zake.Huwezi kuwaambia freshers wajiajiri wakati hakuna hayo mazingira kuanzia kwenye kodi hadi kwenye mazingira.

Kuandaa mtu mzuri ni gharama, yaani yeye anadhani akiwa na bachelor basi ashajua na kuwa mtumishi mzuriNa Mimi hoja yangu ni imekuwaje amehusianisha umri na ufanisi. Labda iwe kwenye ukuli.
Wazo lako ni zuri lakini likiwa implemented as you suggested italeta janga kubwa hasa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii ambayo itashindwa kulipa mafao ya watumishi hao ambao watakuwa wamechangia muda mfupi na still wana muda mrefu wa kuishi na kulipwa hivyo viinua mgongo kila mwezi. Leo hii Wastaafu ni wachache lakini bado serikali inasota mpaka wanaintroduce kanuni za vikokotoo ili kusustain find ya mifukoPamoja na uongozi mbovu wa CCM’, hoja zangu zipo clear
Utumish kazi zitoke kimkataba, retoremznt age ishushwe
Miaka 55 to 60 unafanya nini Ofisini ?
Kwa sababu baba yako alikuwa kilaza akatimuliwa basi unadhani wote wako hivyo!Kufanya kazi ndio kupata Noble prize
Nitajie mtumishi aliepata noble prize
Kwanin hamjiamini si unganganie Ofisi ya mzee wako
Why mnataka kufia kwenye Ofisi za Umma
Mjinga ni wewe kilaza unashindwa kwenda na wakati! Nenda kafanye kazi ya babako!Acha Ujinga
Hakuna gharama. Ingia mtaani acha uoga we mzee