Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Wahindi wapi unawaongelea boss na tunawaona wanashinda kwenye maofisi yao asubuhi hadi jioni na maCCTV kibao?Hujaandaa watu sahihi
Wahind wanwezaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahindi wapi unawaongelea boss na tunawaona wanashinda kwenye maofisi yao asubuhi hadi jioni na maCCTV kibao?Hujaandaa watu sahihi
Wahind wanwezaje
Wabunge sio waajiriwa na serikaliReference ya nini? Kuna wabunge wana zaidi ya miaka 60 wanafanya nini cha maana? Zaidi ya kupiga meza tu
Ila wanafanya kwa maslahi ya wananchi kama walivyo watumishi wa ummaWabunge sio waajiriwa na serikali
Mimi napendekeza uwe miaka 100. Kwasabb Kuna watu tuko na 40 hata kazi hatuna. Halafu mleta mada analeta za kuleta.Uwe miaka 75
Rejea malalamiko ya mleta mada. Yeye hataki kuona mtu anaajiriwa na kuendelea kuwemo katika ajira hadi atakapotimiza miaka 60. Wabunge hawahusiki na hilo sharti, hata wa miaka 30 anaondolewa katika nafasi.Ila wanafanya kwa maslahi ya wananchi kama walivyo watumishi wa umma
Huwezi kuwaambia freshers wajiajiri wakati hakuna hayo mazingira kuanzia kwenye kodi hadi kwenye mazingira.
Mfano, Canada, wahitimu wanaweza kupeleka business Proposal yao kwa Wizara husika, mainjinia; kuomba ufadhili wa pesa wenye riba nafuu, gvt ikielewa proposal yenu mnapewa fund. Opportunities Kama hizi kwa nini uwaze kuajiriwa?
Unakuta mtumishi wa Umma, anamiaka 55 ofisini, anafanya nini? Kama alishindwa kuiletea taasisi maendeleo in his 40, ataweza kuleta maendeleo in his 55 or so ? Kama umeajiriwa in your 30s na una miaka 55 and still serikali inakuhitqji kama mtu muhimu, maana yake wewe sio kiongozi mzuri…..na ni selfish…. Hukuandaa watu ili uendelee kuhitajika even in your death .
Zamani ilikuwa sawa, wazee walikuwa na material sana na hatukuwa na technology ya kutosha hivyo vijana ilikuwa lazima wajifunze kwa old people . hata kwenye medicine ilikuwa ivo, doctor anaweza pewa mkataba wa nyongeza afike hata 75, not now…. We are guided by advanced science and technology , artificial intelligence and automation, everything is there depending on how you are proactive.
Ushauri wangu kwa Serikali dhidi ya Mabadiliko ya muda wa kustaafu:
1. Lazima vijana wawe encouraged Kustaafu in their 45. Iwe hivi, mtumishi akifika 45 na akaomba kustaafu, basi apewe PENSION yake yote ili aende mtaan akaendeleze ajira. Huu ndio Umri wa kazi na energy ipo juu, ni rahisi mtu huyu kutoa ajira kwa vijana wengi along the way. Wazee wengi wa 60 wakistaafu ndio wanaenda kuanzisha miradi mtaan, huwa inakufa na kupoteza pesa sababu energy ipo chini na hardly kufika 75 to 80. It is sad but true 😭
My dad retired in his 47, na akaingia mtaani. Ben akaja akampa appointment ya U DG kwenye taasisi ya Umma. Akafanya kazi 5 years only , in his 52 …. Akarudi kwa Ben akamuomba mawazo mapya yachukue Ofisi, I have done my share for 5 years in a row . watumishi wa sasa wanaona utumishi ni kama ndoa ya kikatolic, ndio yanazaa ujinga kama usinichezee nitakuharibia… unanijua mimi…. Yaani mtu anaongea as if yupo kwenye ofisi ya Baba yake, anasahau kama yeye ni public servant and he is temporarily located .
2. Umri wa kustaafu wa HIYARI uanzie miaka 48. Bado tunaamini mtu wa 48 ni kijana mwenye nguvu ataisaidia jamii mtaani. Huyu pia apewe PENSION zake kwa pamoja
3. Miaka 52 uwe ni UMRI wa lazima kustaafu, huyu apewe only 40% ya mafao yake.
4. Kazi za Umma ziwe za MKATABA MAALUM. Minimum 5 years, maximum 10 years
Kwenye Cycle ya maisha, in your 25 to 30 unatakiwa uwe umeshaamua unataka kuwa nani au nini!! In your 30 to 40 unafanyia kazi ulichoamua, ni golden age of building your empire . In your 40 to 47, unakuwa leader and showing the way , unaandaa wengine waje kutake over. Ukiona in your 50 bado unapambana na maisha, unaamka asubuhi saa kumi na moja kupambana na maisha, ujue in your 25 to 30, hukufanya decision sahihi, in your 40 to 47 , hukuandaa watu , mwendo wa kutoboa likelihood umepungua kwa asilimia. matokeo yake unakuwa mlarushwa na dili fake kwenye taasisi za umma.
Above 50 unatakiwa kuwa mshauri mkuu na mkusanyanya
Maokoto…. Unaamka saa mbili na kuchungulia miamala….that means you had better decision in your early age, and ukaandaa watu in your middle age . Hii ndio Philosophy ya wahindi, wasomali, wazungu and some arabs .
Naishauri serikali kuangalia namna ya kuwapatia fund wahitimu waliomaliza wakaungana let’s say 2, wakaja na proposal kwa mfano tunataka kuanzisha Hospital . Tutaajiri wahasimu, doctors nurses etc etc . wafamasia wakaungana wataanzisha viwanda vya dawa… hospital zitapata huduma za dawa from local , same to injinia
Pia , serikali ishushe muda wa kustaafu as proposed ili kuleta tija, utumishi isiwe kama ndoa za Kikatoliki.
Conflict of interest declaration; nina miaka 36 , ajira yangu ya kwanza ilikuwa mkoani Kagera, nilifanya kazi 48 hrs tu . Nikakimbia mazingira. Wizara ya Afya ikanipqngia Ocean Road. Nikafanya kazi OCean road 5.5 years na kukimbia.
Dr Megalodon
WHO Regional Office,
Rue 52, Ottawa
Canada 🇨🇦
🤣🤣🤣 ubafanya kazi wapi kwanza tuanzie hapo. Kama unafanya kazi chini ya Utumishi, huwezi kuwa na competency yoyote ya Maaana, trust me !Mimi sipimwi na wewe uliyechangayikiwa.
Kama uko competent nafasi zinatangazwa apply ushindane katika usaili.
Mimi niliingia katika utumishi kwa merit.
Ungekuwa competent ungeishaajiriwa
Sasa unalalamika nini🤣🤣🤣 ubafanya kazi wapi kwanza tuanzie hapo. Kama unafanya kazi chini ya Utumishi, huwezi kuwa na competency yoyote ya Maaana, trust me !
Na ukija kwenye intern. Companies utanielewa. Punguza maneno kwenye ishu ya competency mzee
Niajiriwe na nani , Utumishi 🤣🤣🤣
Akapige ndwika soko kuu na miguvu yake.Na Mimi hoja yangu ni imekuwaje amehusianisha umri na ufanisi. Labda iwe kwenye ukuli.
🤣🤣🤣 Mjombq upo around 50 nini 🤣🤣🤣Tatizo lenu mnaojiita wasomi ni wasomi uchwara. Tangu vyuo vikuu vitapakae km uyoga wahitimu wenye uelewa wamepungua sn.
Km suala ni kuajiliwa, kwa nini usiishauri serikali ipunguze idadi ya udahili ili hao wachache wanaomaliza wote waajiriwe. Na hapo ungeona km hata chuo km ungepata. Ndo maana wakati mimi nasoma vyuo vikuu vilikuwa 2 tu, UDSM (cha serikali) na ST AUGUSTINO (cha private) na 99% waliomaliza waliajiliwa serikalini wote. Vyuo vingine km Mzumbe walikuwa wanatoa diploma na adv diploma. Sasa vipi msomi unaelilia ajila ili wengine wakose, unaonaj turudi huko.
Naona wewe ungekuwa malaika mtoa roho za watu ungeua watumishi wote ili serikali itoe ajira upya na wewe upate.
Mnaolilia ajira, nje ya vyeti vyenu vyenye ufaulu wa mchongo, kichwani mna nini. Wengi wenu ni empty CD wakati vyeti vinaonesha ufaulu wa kutisha. Ndo maan serikali ikabaini hili na kuweka interview kwa sasa karibu kila idara ili mpitiwe upya na majopo ya waliosoma bila blaa blaa na drama za kisiasa. Cha ajabu mkiambiwa kuajiliwa hadi upasi interview mnaanza kulia. Hivi km mtu ulisoma kwa akili zako unaogopa interview ya nini, mbona hamkatai mitihani mnayopewa huko mashuleni na vyuoni. Huu ni ushahidi kuwa wengi wenu mna ufaulu wa ujanja ujanja. Ebu fikiria kipindi ktk wilaya sekondari ni moja na mnafaulu msiozidi 5, hapo huyo ataogopaj interview. Watu walikuwa vichwa, tena wenye umri mkubwa wanaojitambua.
Hivi unajua matokeo ya kurudisha nyuma umri wa kustaafu. Hapo serikali itakuwa na mzigo mkubwa sn wa kutoa mafao, na gharama kubwa ya kuajili wapya. Rejea marekebisho ya kikokotoo, na matokeo ya ukosefu wa pesa kwa wastaafu.
Kumuombea mwenzio astaafu kwa umri wa miaka 50 ni sawa na kusema umri wa Mtanzania kuishi umepungua. Je unajua kwa nini ma profesa waliongezwa muda hadi miaka 70? It means umri wa Mtanzania kuishi upo juu sn. Miaka 50 bado ni kijana sn. Hata wanaostafu sasa kwa miaka 60 bado wanaondoka wakiwa na nguvu sn. Msipende kulinganusha ajira za nchi flani hasa za magharibi na Africa hasa Tz. Mfano huko wenzetu wanasheria ya ndoa ya mkataba, je unataka na sisi iwe hivyo ili kila mwanamke aonje radha ya kuolewa. Wamehalalisha ushoga na huku napo unataka iwe hivyo.
Km suala ni umri wa ajira mbona kwenye vyombo vya ulinzi na usalama wapo wanaostaaf wakiwa na 45 yrs na wengine 50 yrs kulingana na cheo ulichonacho, vipi huko nako umekosa au na wao wapunguziwe hadi miaka 35 ili upate.
Tatizo vijana wa sasa ubishoo mwingi. Hampendi kufanya kazi za juani kisa mmesoma. Hiyo ilikuwa ni enzi ya zamani kuwa ukishasoma tena umefika level ya chuo kikuu basi wewe ni kipanga kweli kweli na kote unapopita ni zaidi ya malikia au mfalume. Km umetokea kijijini ulikuwa ukirudi likizo Kijiji kizima kinajua na wa wasichana wote walikuwa wanadata, ulikuwa na uwezo wa kuoa vibinti Kijiji kizima bila kukataa. Sasa hivi ni tofauti, degree huko vijijini zimejaa, advance wamejaa, form four kila nyumba ina mhitimu. Sasa nyie mkitembea na upepo wa miaka ya 70, 80, 90, na 2000-2005 mtazeekea nyumbani. Miaka hiyo yote almost 80% ya wahitimu kuanzia sec hadi vyuo walipata ajira, hata darasa la 7 waliajiliwa km madreva na kwenye vyombo vya usalama.
NB
Hatuwezi kutatua tatizo kwa kutengeneza tatizo, just suggest reasonable solutions for combating the situation not to evacuate others from their positions.This is not healthy solution.
Halafu bwana mdogo hizi ajira hasa za mishahara ya "kwa mjibu wa utumishi wa umma" utakuwa na moto na kazi kw muda mfupi tu then utarudi hapa kulia kuongezwa mshahara. Sema kwa vile hauna kwa sasa ndo maan mna mapepe. Huoni wengine wanaacha kazi serikalini wanapenda kujiajiri!
Said: BANDOKITITA
Kufanya kazi ndio kupata Noble prizeRubbish! Nani kakuaminisha kuwa ubongo unazeeka ukifika 50s! Ebu orodhesha vijana chini ya 45 ambao wamepata Nobel prize!
Mfano Mzee wasira, anaongzaa nini kwenye hili taifa la utumishi wa Umma!! Ila bado yupoWatunga sera hizo ndio hao kina Wasira ambao kuanzia awamu ya kwanza hadi ya 6 yumo tu!
Kuna siku nimemsikia Wasira anasema vijana wajiajiri na kusaka nafasi mshahara mmoja hautoshi ndio maana hata yeye hadi leo yumo serikalini.
Wahitim wenyewe sasaHuwezi kuwaambia freshers wajiajiri wakati hakuna hayo mazingira kuanzia kwenye kodi hadi kwenye mazingira.
Mfano, Canada, wahitimu wanaweza kupeleka business Proposal yao kwa Wizara husika, mainjinia; kuomba ufadhili wa pesa wenye riba nafuu, gvt ikielewa proposal yenu mnapewa fund. Opportunities Kama hizi kwa nini uwaze kuajiriwa?
Unakuta mtumishi wa Umma, anamiaka 55 ofisini, anafanya nini? Kama alishindwa kuiletea taasisi maendeleo in his 40, ataweza kuleta maendeleo in his 55 or so ? Kama umeajiriwa in your 30s na una miaka 55 and still serikali inakuhitqji kama mtu muhimu, maana yake wewe sio kiongozi mzuri…..na ni selfish…. Hukuandaa watu ili uendelee kuhitajika even in your death .
Zamani ilikuwa sawa, wazee walikuwa na material sana na hatukuwa na technology ya kutosha hivyo vijana ilikuwa lazima wajifunze kwa old people . hata kwenye medicine ilikuwa ivo, doctor anaweza pewa mkataba wa nyongeza afike hata 75, not now…. We are guided by advanced science and technology , artificial intelligence and automation, everything is there depending on how you are proactive.
Ushauri wangu kwa Serikali dhidi ya Mabadiliko ya muda wa kustaafu:
1. Lazima vijana wawe encouraged Kustaafu in their 45. Iwe hivi, mtumishi akifika 45 na akaomba kustaafu, basi apewe PENSION yake yote ili aende mtaan akaendeleze ajira. Huu ndio Umri wa kazi na energy ipo juu, ni rahisi mtu huyu kutoa ajira kwa vijana wengi along the way. Wazee wengi wa 60 wakistaafu ndio wanaenda kuanzisha miradi mtaan, huwa inakufa na kupoteza pesa sababu energy ipo chini na hardly kufika 75 to 80. It is sad but true 😭
My dad retired in his 47, na akaingia mtaani. Ben akaja akampa appointment ya U DG kwenye taasisi ya Umma. Akafanya kazi 5 years only , in his 52 …. Akarudi kwa Ben akamuomba mawazo mapya yachukue Ofisi, I have done my share for 5 years in a row . watumishi wa sasa wanaona utumishi ni kama ndoa ya kikatolic, ndio yanazaa ujinga kama usinichezee nitakuharibia… unanijua mimi…. Yaani mtu anaongea as if yupo kwenye ofisi ya Baba yake, anasahau kama yeye ni public servant and he is temporarily located .
2. Umri wa kustaafu wa HIYARI uanzie miaka 48. Bado tunaamini mtu wa 48 ni kijana mwenye nguvu ataisaidia jamii mtaani. Huyu pia apewe PENSION zake kwa pamoja
3. Miaka 52 uwe ni UMRI wa lazima kustaafu, huyu apewe only 40% ya mafao yake.
4. Kazi za Umma ziwe za MKATABA MAALUM. Minimum 5 years, maximum 10 years
Kwenye Cycle ya maisha, in your 25 to 30 unatakiwa uwe umeshaamua unataka kuwa nani au nini!! In your 30 to 40 unafanyia kazi ulichoamua, ni golden age of building your empire . In your 40 to 47, unakuwa leader and showing the way , unaandaa wengine waje kutake over. Ukiona in your 50 bado unapambana na maisha, unaamka asubuhi saa kumi na moja kupambana na maisha, ujue in your 25 to 30, hukufanya decision sahihi, in your 40 to 47 , hukuandaa watu , mwendo wa kutoboa likelihood umepungua kwa asilimia. matokeo yake unakuwa mlarushwa na dili fake kwenye taasisi za umma.
Above 50 unatakiwa kuwa mshauri mkuu na mkusanyanya
Maokoto…. Unaamka saa mbili na kuchungulia miamala….that means you had better decision in your early age, and ukaandaa watu in your middle age . Hii ndio Philosophy ya wahindi, wasomali, wazungu and some arabs .
Naishauri serikali kuangalia namna ya kuwapatia fund wahitimu waliomaliza wakaungana let’s say 2, wakaja na proposal kwa mfano tunataka kuanzisha Hospital . Tutaajiri wahasimu, doctors nurses etc etc . wafamasia wakaungana wataanzisha viwanda vya dawa… hospital zitapata huduma za dawa from local , same to injinia
Pia , serikali ishushe muda wa kustaafu as proposed ili kuleta tija, utumishi isiwe kama ndoa za Kikatoliki.
Conflict of interest declaration; nina miaka 36 , ajira yangu ya kwanza ilikuwa mkoani Kagera, nilifanya kazi 48 hrs tu . Nikakimbia mazingira. Wizara ya Afya ikanipqngia Ocean Road. Nikafanya kazi OCean road 5.5 years na kukimbia.
Dr Megalodon
WHO Regional Office,
Rue 52, Ottawa
Canada 🇨🇦
Wazee ndio facilités kwenye hilo TAIFAMazee yanaogopa harakati za kujiajiri na kuzalisha mali mitaani ,maana mazingira ni magumu mno na yenyewe ndio yamesababisha hali hii kwa kutengeneza taifa corrupt na lilijoaa umasikini ,hopelessness and destitution kila kona ,halafu yanawatukana vijana kwamba ni wavivu na wajiajiri ,
Pumbavu ,yenyewe mbona yanakalia tu viti vya serikali na makampuni huko bila kujiajiri kama ni rahisi hivyo ?
Umri wa kustaafu uwe miaka 50 , jitu likifikisha miaka 50 litoke lipeleke makalio yake na kitambi huko mitaani kujiajiri .
Na
After all hamna jipya walichofanya ,upuuuzi tu ,ajira na nyadhifa zipo kwa wao kujineemesha na kukalia viti tu kunenepa na kupoteza muda , efficiency zero .