William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Siasa za CCM zianze kuangalia vitu vya Msingi tu kila wakija kwenye soka always ni nuksi tu.
Kwanza watu wanawekeza mabilion Alafu mwanasiasa anataka apate sifa kwa m 5 isiyotosha ata mshahara wa mwezi wa mchezaji.
Kawaida Simba hununua away game kwa m 200. Sasa Hawa wanaomshauri mama wamshauri vizuri tu aachane na siasa ya Mpira Ina gundu kubwa kwa Wanasiasa.
Kama anatoa mzigo atoe mzigo wa maana zaidi ya m 100 na akaongee nao vyumbani Ila wasifanyie siasa mechi hizi hatutatoboa
Mwinyi alipenda Mpira Ila kila akienda Taifa Taifa inagongwa.
Ikawa kwa JK, Katia hela, kaleta kocha baada watu ikabidi wamshauri asiende Taifa akienda tu tunagongwa.
Au Simba siku anakabidhiwa kombe na jpm akapigwa moja na kagera.
Vile vile kinana alinda mechi ya viper vs Yanga eti mgeni rasmi tukaliwa kichwa.