GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aeleza kutoridhishwa na kasi ya uendeshwaji wa bandari.
Chanzo: ikulu_mawasiliano
Na kwa Kukusaidia hupigwi tu hapo Bandari bali unapigwa zaidi katika Utalii, Wizara ya Fedha na katika Madini.
Si ulisema Wewe utakuwa Mpole na ukampiga hadi Madongo Mtangulizi wako (sasa Kalala Mazima) kuwa alikuwa Mkali na anaharibu, ila Wewe utakuwa Unatuchekea tu Watanzania ili tukuone Unatupenda na Unatuhurumia?
Sasa unalalamika nini tena? Nakushauri tu Mama (Rais) tafadhali endelea tu Kutudekeza, Kutupetipeti Sisi Wanao na wala 'Usitufokee' na hata 'tukikuibia' Wewe tutoe 'Kiupole' na Uteue Wengine sawa?
Ninapenda mno Marais walio Wakali.