Muda wowote kuanzia sasa Yanga inatangaza rasmi kuachana na Fei Toto, anatua Azam FC

Nilipoona tu hii sentensi " dau halitawekwa wazi" nikajua hapa kuna watu wanaficha fedheha waliyoipata baada ya kumzungusha muda mrefu kijana.Hatimae wamerudi pale pale walipokuwa wanakataa.
kama hujui wamelipa milioni 300
 
Wale waliokuwa wanamwambia Hersi asimamie kanuni na asikubali kutii 'ombi' la Mama nadhani leo watakuwa dissapointed sana.

Tuliwaambia lile ombi litatekelezwa haraka sana na Mama atapelekewa mrejesho.Dogo ameondoka kwa masharti mepesi sana ndiyo maana 'dau' lake la kuondoka halitawekwa wazi kuepusha fedheha kwa waliokuwa wanamfanyia zengwe last born wa Taifa.
sasa kama hujui azam wamelipa mil 300
 
Nilipoona tu hii sentensi " dau halitawekwa wazi" nikajua hapa kuna watu wanaficha fedheha waliyoipata baada ya kumzungusha muda mrefu kijana.Hatimae wamerudi pale pale walipokuwa wanakataa.
Ni wachezaji wangapi hapa bongo dau lao hua haliwekwi wazi?
 
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kuwa tayari klabu hiyo imemalizana na Fei Toto na andiko la kumalizana naye lipo kwenye hatua za mwisho kupitiwa kabla ya kuwekwa kwenye platforms za Klabu ya Yanga.

Anaelekea Azam FC kwa dau la usajili ambalo halitawekwa wazi kutokana na makubaliano ya pande zote mbili.
Zile pesa alizochangiwa zinarudishwa au veeeepe
 
Kweli nimeamini katika maisha simamia unachokiamini hata Kama kitakugharimu lakimi malipo yake mbele ni makubwa sana

Watu kama kina Edo kumwembe walimkejeli Santa Dogo na maandiko Yao Leo kipo wap?

Viva feisal Toto nilikuelewa toka mwanzoni..sasa nimeprove ile imani niliyokuwa nayo kwako
Mnamsifu toto badala ya kumsifu aliyesema mgogoro uishe, hata angekuwa na msimamo mkubwa kiasi gani, bila jumba jeupe kumsitiri alikuwa amepotea. Mama amemsitiri dogo yani ni sawasawa wewe uwe na ugomvi na mtu then atokee mtu kuwasuluhisha ujisifu umeshinda, aushukuru sana wakati.
 
Wale waliokuwa wanamwambia Hersi asimamie kanuni na asikubali kutii 'ombi' la Mama nadhani leo watakuwa dissapointed sana.

Tuliwaambia lile ombi litatekelezwa haraka sana na Mama atapelekewa mrejesho.Dogo ameondoka kwa masharti mepesi sana ndiyo maana 'dau' lake la kuondoka halitawekwa wazi kuepusha fedheha kwa waliokuwa wanamfanyia zengwe last born wa Taifa.
Ni mtu mjinga pekee anaweza amini hersi angesimamia kanuni, kiongozi kama Rais akiomba sio ombi ni kutekeleza. Theoretically unaweza sema ombi ila ni maelekezo.
 
Tunamsifu kwakuwa amepata alichokitaka ambacho ni kuondoka Yanga.Msimamo wake wa bila kuyumbishwa mwisho wa siku umewafedhehesha Yanga na ile kamati ya mchongo ya TFF wakiwemo kina Mgongolwa waliokuwa wanamletea mazonge Last born wa Taifa hadi Mama akaingilia kati.

Wako wapi waliokuwa wanamkejeli Feisal na washauri wake?
 
Ni mtu mjinga pekee anaweza amini hersi angesimamia kanuni, kiongozi kama Rais akiomba sio ombi ni kutekeleza. Theoretically unaweza sema ombi ila ni maelekezo.
Jana hapa walikuwa kama wamepagawa,tulikuwa tunawauliza kama wanaelewa uzito wa lile ombi la Mama wakawa wanaruka ruka na maneno mengi.Leo hii wanaanza kutuletea blah blah za dau la 350M
 
Wale waliokuwa wanamwambia Hersi asimamie kanuni na asikubali kutii 'ombi' la Mama nadhani leo watakuwa dissapointed sana.

Tuliwaambia lile ombi litatekelezwa haraka sana na Mama atapelekewa mrejesho.Dogo ameondoka kwa masharti mepesi sana ndiyo maana 'dau' lake la kuondoka halitawekwa wazi kuepusha fedheha kwa waliokuwa wanamfanyia zengwe last born wa Taifa.
Kabisa mkuu. La muhimu Fei acheze.
 
Tunamsifu kwakuwa amepata alichokitaka ambacho ni kuondoka Yanga.Msimamo wake wa bila kuyumbishwa mwisho wa siku umewafedhehesha Yanga na ile kamati ya mchongo ya TFF wakiwemo kina Mgongolwa waliokuwa wanamletea mazonge Last born wa Taifa hadi Mama akaingilia kati.

Wako wapi waliokuwa wanamkejeli Feisal na washauri wake baada ya kufungwa midomo.
Mm nafikiri tungempongeza baada ya majibu ya cas, kilichofanywa ni kudekezwa tu, jiulize bila mama nini kingetokea, hekima tu imetumika sheria zimewekwa pembeni. but kikanuni jamaa alipuyanga so tumsifu aliiyesema mgogoro uishe maana yale ni mamlaka na kauli ya mkuu ni sheria.
Kwani wangapi walisema yaishe na hayakuisha? Kumsifu toto kwa hili ni kujaribu kupiga mluzi huku unatafuna karanga.
 
Huyu mnywa urojo ana roho ya kiaskari kabisa yani haiishi hadi imeisha ndio hii sasa, alafu wale walikua wanasema anaenda Simba wakome vidomo domo sasa
Msimu ujao ataenda Simba , Azam ni mlango usio na makelele
 
Back
Top Bottom