Muda wowote Nitaeleza kwa kina juu ya wote wanaotaka Kumyumbisha Rais Samia na kuleta Vurugu na kuigawa CCM

Tatzo lako unaandikaga ujinga mwing na sjui kama uwa unaomba mtu asome kwanza ulichoandika kabla hujapost !! Yaan kama elimu yetu ni hivi Bado kweny dira ya 2059 inatakiwa iwepo dira ya kuondoa degree ambazo hazina maana kweny jamii na Yako ifutwe
 
Kumbe hadi utafute,nilijua kwa kadiri unavyojitumumua,hapa ungeushusha mkeka kabisa,kumbe hadi ukauokoteze?
 
Usitafute mchawi nje! Mchawi yuko humo humo CCM.
Kiongozi wa Wahuni ndiye aliyempitisha Mama juu kwa juu bila kufuata utaratibu.
 

Kikulacho ki nguoni...ni mtu mjinga pekee anayelaumu watu wengine kwa kila changamoto anazokutana nazo. Own your destine and be responsible for it.

Tanzania inataka uongozi imara na unaofanya maendeleo ya kweli kwa vitendo. Unaweza kufikiria ni watu wachache wanaomkataa mgombea wako.

Itakuwaje kama wako wengi? Je hao ni kina nani?

Boti limetobolewa, maji yanaingia ndani katikati ya safari. Huu sio muda wa kuzima hoja kwa ubabe. Ubabe huwa unakwama kirahisi sana kama watu wamekukataa.

Inataka akili kubwa sana kuokoa boti. Ujuaji utalizamisha kabisa
 
Endelea kunisoma na Kunifuatilia kila siku utapata kujua mimi ni nani ikiwa wewe ni mgeni wa Taifa hili.

Ukishaanza kusema mimi ni nani it confirms, you have lost the plot.

Wewe unapambania fursa kama wengine. Mungu Mwenyezi ataamua kwa haki, nani anayestahili fursa fulani kwa wakati wake.

Kwa Taifa letu lilivyo, hata kama mtu amepewa dhamana ya uongozi, haina maana ndio amepewa hati miliki.
Uongozi unakuja na pia unaweza kwenda. Mbona una macho na unashindwa kuona...mbona una masikio na hutaki kusikia?

Kiburi sio maungwana, wahenga walisema.
 
Utakapokuwa unatueleza hayo uwe unalia kabisa na tuone ukilia siyo machozi kukulenga tuu
 
Nyie ndio wahuni wenyewe anaozungumzia Balozi polepole. Kale kiserikali ndani ya serikali. Hii lazima ikomeshwe.
 
Kakikundi kundini mwa bundi kana wanakandia wana kundi tunduni!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nimefurahi kwa mtoa mada kwa kutufanya tuelewe kumbe ndani ya mafisiem mnaparurana wenyewe kwa wenyewe ili mtafune mali za watz,pia ndio maana nimeelewa kwa nini mnabaka,mnaf**,mnateka,mnauwa watu wasio na hatia kisa mbaki madarakani,siku zenu za uchungu zinakaribia na kuhesabika na damu mlizozimwaga bila ya hatia zitawalilia mpaka makaburini kwenu washenzi nynyi.
 
Njaa ni kitu hatari sana, watu kama nyie ndio mlio chelewesha na mnao chelewesha maendeleo ya kweli.
 
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ