Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #161
Acha ujinga wako hapa weweWewe Samia anauwezo wa kukutia dildo na ukamsifia tu

Uzuri umeshajianika sana humu jukwaani siku ya siku ikifika haitakuwa kazi kukudaka.Ndugu zangu Watanzania,
Kaeni mkao wa kula ,kaeni mkao wa kufunguliwa akili na macho,kaeni mkao wa kufumbuliwa vitendawili na mabano ,kaeni mkao wa kuonyeshwa ya sirini na gizani ,kaeni mkao wa kujua ajenda ya kakikundi kanakotaka kujipachika jina la uzalendo kutimiza ajenda zake ovu na zenye nia ovu kwa Taifa letu.
Ndugu zangu Watanzania kuna kakikundi kanataka kujaribu kumyumbisha Rais Samia,kutaka kumtisha Rais kwa kutaka kuonyesha kana nguvu kubwa nyuma yake au kenyewe ndio chama chenyewe kuliko hata Mkutano Mkuu wa chama Taifa au kamati kuu ya chama Taifa au vikao vyovyote vile halali vya chama.
Kakikundi haka msingi wake umejikita katika chuki binafsi ,Udini ,ukabila na ukanda. Kamejikita katika kujihalalisha na kujiaminisha ya kuwa kenyewe ndiyo kanapaswa pengine kuamua nani awe Rais ,Makamu ,waziri Mkuu ,speaker wa Bunge na viongozi wengine wakuu katika vyombo vingine mbalimbali.
Ni kakikundi kanakofikiri pengine kana haki ya kufikiria na kuamua kwa niaba ya watanzania wote.ni kakikundi ambako kanaongozwa na maslahi binafsi na uroho wa madaraka pamoja na uchu wa madaraka na vyeo mbalimbali. Kana kiu ya kuiteka Ofisi Kuu kwa gharama ya aina yoyote ile iwayo.
Ni kakikundi ambako kanajaribu kwa namna yoyote ile kujaribu kumchafua Rais Samia na kuharibu haiba yake mbele ya macho ya watanzania. Shabaha yake kuu ni kuhakikisha kuwa Rais Samia anachafuka , kuchafuliwa,kupakwa matope ,kusilibwa,kuzushiwa uongo na uzushi pamoja na kumchonganisha yeye binafsi na watanzania. Kamedhamiria kutaka RAIS Samia achukiwe na kuonekana ndiye adui wa Taifa hili na watu wake.
Ndio Maana mtaona na mtaendelea kuona kuwa mashambulizi Yoote yataelekezwa katika kumchafua yeye pekee tu .kwa sababu huyu ndiye aliyeshikilia nafasi ambayo wao wanaimezea mate usiku na mchana na kuiota. Wao shida yao ni Urais tu ili waweze kupanga sasa safu zao zooote zinazobakia na ambazo ni nyeti na muhimu.
Hii ni baada ya maamuzi ya Mkutano Mkuu wa CCM kuwapiga msasa kwenye kidonda kibichi pasipo wao kutegemea au kujiandaa au waweza kusema ya kuwa walipigwa shambulizi la ghafla bila wao kujiandaa. Na kibaya zaidi shambulio hilo lilifanywa kikatiba na kikanuni kabisa kwa kujibu wa katiba ,kanuni na miongozo ya katiba ya CCM. Yaani hakuna kipengele chochote kile kilichokiukwa.
Hivyo kakikundi hako kanataka kujaribu kutumia nafasi yake ya mwisho mwisho kujaribu kuigawa CCM na kuleta vurugu ambazo wao wanafikiri pengine zinaweza kuchochea uasi , Mapinduzi ya kikatiba na mivurugano mbalimbali na kukosekana kwa maelewano ndani ya chama ili kupata upenyo wa kutimiza lengo lake la kuimendea ofisi kuu kwa kumpachika mtu wanaofikiri atalinda maslahi yao binafsi.
Hata hivyo ni kuwa hawawezi kamwe na katu kufanya Mapinduzi ya aina yoyote ile ndani ya CCM wala kuleta mgawanyiko au kuchochea ugomvi na kuvunja umoja na mshikamano. Kwa kuwa CCM ni chama imara na madhubuti na chenye mfumo imara na wa kipekee sana.
CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM yenyewe.huwezi kuitikisa CCM pasipo kuitikisa Nchi yenyewe na watanzania. Hivyo anayewaza kufanya hivyo anajidanganya yeye binafsi na wanaomtuma na kumdanganya. CCM ni kubwa kuliko mtu yeyote yule au kikundi chochote kile. Cheza na kitu chochote kile lakini usicheze na CCM. Hii ni taasisi imara na yenye intelligensia kali sana yenye kuona hadi gizani.
Rais Samia ndio Mboni Ya Taifa letu. Tutamlinda, kumtetea na kumpigania kwa gharama yoyote ile iwayo.View attachment 3411197
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jaribu uone cha moto. Utajuta kuzaliwa kwako hapa Duniani. Unanifahamu Mimi? Usicheze na Mkono wa MunguUzuri umeshajianika sana humu jukwaani siku ya siku ikifika haitakuwa kazi kukudaka.
Wewe uzao wa ibilisi unayetetea maovu ya utawala huu dhalimu lazima utalipa tuJaribu uone cha moto. Utajuta kuzaliwa kwako hapa Duniani. Unanifahamu Mimi? Usicheze na Mkono wa Mungu
Wewe ndiye uache ujinga.Acha ujinga wako hapa wewe
Huyu bwege lazima tuzae naye anajifanya anamjua sana jini Shumileta mnyonya damu za WatanganyikaWewe ndiye uache ujinga.
Jaribu uone cha moto. Naona umezoea kufanya mambo hayo ndio maana unafikiria unaweza mfanyia kila mtu. Utatafunwa mpaka kizazi chako cha Elfu moja.Wewe uzao wa ibilisi unayetetea maovu ya utawala huu dhalimu lazima utalipa tu
Acha maneno yako . Wewe fanya kujaribu ili uone kama utapata hata nafasi ya kurudi kuhadithia wengine.Huyu bwege lazima tuzae naye anajifanya anamjua sana jini Shumileta mnyonya damu za Watanganyika
Huyu shetani anasumbuliwa na kideri hana loloteSorry kwani wewe ni msemaji wa ssm au serikali, ili tujue nguvu ya hoja zako
Laana ya wazazi wake inamtesa huyu shetaniAcha ujinga wewe Mwashambwa. Uchawa utauacha lini?
Epuka usiwe kama Syprian Musiba (utatozwa fidia kubwa ambazo hata uuze mashamba hutaweza);Ndugu zangu Watanzania,
Kaeni mkao wa kula ,kaeni mkao wa kufunguliwa akili na macho,kaeni mkao wa kufumbuliwa vitendawili na mabano ,kaeni mkao wa kuonyeshwa ya sirini na gizani ,kaeni mkao wa kujua ajenda ya kakikundi kanakotaka kujipachika jina la uzalendo kutimiza ajenda zake ovu na zenye nia ovu kwa Taifa letu.
Ndugu zangu Watanzania kuna kakikundi kanataka kujaribu kumyumbisha Rais Samia,kutaka kumtisha Rais kwa kutaka kuonyesha kana nguvu kubwa nyuma yake au kenyewe ndio chama chenyewe kuliko hata Mkutano Mkuu wa chama Taifa au kamati kuu ya chama Taifa au vikao vyovyote vile halali vya chama.
Kakikundi haka msingi wake umejikita katika chuki binafsi ,Udini ,ukabila na ukanda. Kamejikita katika kujihalalisha na kujiaminisha ya kuwa kenyewe ndiyo kanapaswa pengine kuamua nani awe Rais ,Makamu ,waziri Mkuu ,speaker wa Bunge na viongozi wengine wakuu katika vyombo vingine mbalimbali.
Ni kakikundi kanakofikiri pengine kana haki ya kufikiria na kuamua kwa niaba ya watanzania wote.ni kakikundi ambako kanaongozwa na maslahi binafsi na uroho wa madaraka pamoja na uchu wa madaraka na vyeo mbalimbali. Kana kiu ya kuiteka Ofisi Kuu kwa gharama ya aina yoyote ile iwayo.
Ni kakikundi ambako kanajaribu kwa namna yoyote ile kujaribu kumchafua Rais Samia na kuharibu haiba yake mbele ya macho ya watanzania. Shabaha yake kuu ni kuhakikisha kuwa Rais Samia anachafuka , kuchafuliwa,kupakwa matope ,kusilibwa,kuzushiwa uongo na uzushi pamoja na kumchonganisha yeye binafsi na watanzania. Kamedhamiria kutaka RAIS Samia achukiwe na kuonekana ndiye adui wa Taifa hili na watu wake.
Ndio Maana mtaona na mtaendelea kuona kuwa mashambulizi Yoote yataelekezwa katika kumchafua yeye pekee tu .kwa sababu huyu ndiye aliyeshikilia nafasi ambayo wao wanaimezea mate usiku na mchana na kuiota. Wao shida yao ni Urais tu ili waweze kupanga sasa safu zao zooote zinazobakia na ambazo ni nyeti na muhimu.
Hii ni baada ya maamuzi ya Mkutano Mkuu wa CCM kuwapiga msasa kwenye kidonda kibichi pasipo wao kutegemea au kujiandaa au waweza kusema ya kuwa walipigwa shambulizi la ghafla bila wao kujiandaa. Na kibaya zaidi shambulio hilo lilifanywa kikatiba na kikanuni kabisa kwa kujibu wa katiba ,kanuni na miongozo ya katiba ya CCM. Yaani hakuna kipengele chochote kile kilichokiukwa.
Hivyo kakikundi hako kanataka kujaribu kutumia nafasi yake ya mwisho mwisho kujaribu kuigawa CCM na kuleta vurugu ambazo wao wanafikiri pengine zinaweza kuchochea uasi , Mapinduzi ya kikatiba na mivurugano mbalimbali na kukosekana kwa maelewano ndani ya chama ili kupata upenyo wa kutimiza lengo lake la kuimendea ofisi kuu kwa kumpachika mtu wanaofikiri atalinda maslahi yao binafsi.
Hata hivyo ni kuwa hawawezi kamwe na katu kufanya Mapinduzi ya aina yoyote ile ndani ya CCM wala kuleta mgawanyiko au kuchochea ugomvi na kuvunja umoja na mshikamano. Kwa kuwa CCM ni chama imara na madhubuti na chenye mfumo imara na wa kipekee sana.
CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM yenyewe.huwezi kuitikisa CCM pasipo kuitikisa Nchi yenyewe na watanzania. Hivyo anayewaza kufanya hivyo anajidanganya yeye binafsi na wanaomtuma na kumdanganya. CCM ni kubwa kuliko mtu yeyote yule au kikundi chochote kile. Cheza na kitu chochote kile lakini usicheze na CCM. Hii ni taasisi imara na yenye intelligensia kali sana yenye kuona hadi gizani.
Rais Samia ndio Mboni Ya Taifa letu. Tutamlinda, kumtetea na kumpigania kwa gharama yoyote ile iwayo.View attachment 3411197
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe ni msemaji wake?Ndugu zangu Watanzania,

NakaziaEpuka usiwe kama Syprian Musiba (utatozwa fidia kubwa ambazo hata uuze mashamba hutaweza);
Tumia busara
Unajitahidi kutype 😂😂Ndugu zangu Watanzania,

Wewe mtoto mdogo sana kwenye hizi mambo ndiyo maana ulikimbilia kuweka hata namba zako za simu na utambulisho halisi ukijua utaitwa sasa anaondoka zake Oman kwao tuone utashika wapi bwege mtozeni wewe.Acha maneno yako . Wewe fanya kujaribu ili uone kama utapata hata nafasi ya kurudi kuhadithia wengine.
Hapo Sasa umeeleweka,ila unafanya makusudi tuu!Ndio maana Watanzania, wanataka no reforms no election,wanamaanavpana si kwa ajili ya chama flani ni kwa Watanzania wote!Hayo ya Vikundi huko sm ndio matokeo ya kutofanya reforms Kilaza Mwashambwa!Kaa kwenye mstari,acha kupotosha,usiwe kwenye kundi la hao .Ndugu zangu Watanzania,
Kaeni mkao wa kula ,kaeni mkao wa kufunguliwa akili na macho,kaeni mkao wa kufumbuliwa vitendawili na mabano ,kaeni mkao wa kuonyeshwa ya sirini na gizani ,kaeni mkao wa kujua ajenda ya kakikundi kanakotaka kujipachika jina la uzalendo kutimiza ajenda zake ovu na zenye nia ovu kwa Taifa letu.
Ndugu zangu Watanzania kuna kakikundi kanataka kujaribu kumyumbisha Rais Samia,kutaka kumtisha Rais kwa kutaka kuonyesha kana nguvu kubwa nyuma yake au kenyewe ndio chama chenyewe kuliko hata Mkutano Mkuu wa chama Taifa au kamati kuu ya chama Taifa au vikao vyovyote vile halali vya chama.
Kakikundi haka msingi wake umejikita katika chuki binafsi ,Udini ,ukabila na ukanda. Kamejikita katika kujihalalisha na kujiaminisha ya kuwa kenyewe ndiyo kanapaswa pengine kuamua nani awe Rais ,Makamu ,waziri Mkuu ,speaker wa Bunge na viongozi wengine wakuu katika vyombo vingine mbalimbali.
Ni kakikundi kanakofikiri pengine kana haki ya kufikiria na kuamua kwa niaba ya watanzania wote.ni kakikundi ambako kanaongozwa na maslahi binafsi na uroho wa madaraka pamoja na uchu wa madaraka na vyeo mbalimbali. Kana kiu ya kuiteka Ofisi Kuu kwa gharama ya aina yoyote ile iwayo.
Ni kakikundi ambako kanajaribu kwa namna yoyote ile kujaribu kumchafua Rais Samia na kuharibu haiba yake mbele ya macho ya watanzania. Shabaha yake kuu ni kuhakikisha kuwa Rais Samia anachafuka , kuchafuliwa,kupakwa matope ,kusilibwa,kuzushiwa uongo na uzushi pamoja na kumchonganisha yeye binafsi na watanzania. Kamedhamiria kutaka RAIS Samia achukiwe na kuonekana ndiye adui wa Taifa hili na watu wake.
Ndio Maana mtaona na mtaendelea kuona kuwa mashambulizi Yoote yataelekezwa katika kumchafua yeye pekee tu .kwa sababu huyu ndiye aliyeshikilia nafasi ambayo wao wanaimezea mate usiku na mchana na kuiota. Wao shida yao ni Urais tu ili waweze kupanga sasa safu zao zooote zinazobakia na ambazo ni nyeti na muhimu.
Hii ni baada ya maamuzi ya Mkutano Mkuu wa CCM kuwapiga msasa kwenye kidonda kibichi pasipo wao kutegemea au kujiandaa au waweza kusema ya kuwa walipigwa shambulizi la ghafla bila wao kujiandaa. Na kibaya zaidi shambulio hilo lilifanywa kikatiba na kikanuni kabisa kwa kujibu wa katiba ,kanuni na miongozo ya katiba ya CCM. Yaani hakuna kipengele chochote kile kilichokiukwa.
Hivyo kakikundi hako kanataka kujaribu kutumia nafasi yake ya mwisho mwisho kujaribu kuigawa CCM na kuleta vurugu ambazo wao wanafikiri pengine zinaweza kuchochea uasi , Mapinduzi ya kikatiba na mivurugano mbalimbali na kukosekana kwa maelewano ndani ya chama ili kupata upenyo wa kutimiza lengo lake la kuimendea ofisi kuu kwa kumpachika mtu wanaofikiri atalinda maslahi yao binafsi.
Hata hivyo ni kuwa hawawezi kamwe na katu kufanya Mapinduzi ya aina yoyote ile ndani ya CCM wala kuleta mgawanyiko au kuchochea ugomvi na kuvunja umoja na mshikamano. Kwa kuwa CCM ni chama imara na madhubuti na chenye mfumo imara na wa kipekee sana.
CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM yenyewe.huwezi kuitikisa CCM pasipo kuitikisa Nchi yenyewe na watanzania. Hivyo anayewaza kufanya hivyo anajidanganya yeye binafsi na wanaomtuma na kumdanganya. CCM ni kubwa kuliko mtu yeyote yule au kikundi chochote kile. Cheza na kitu chochote kile lakini usicheze na CCM. Hii ni taasisi imara na yenye intelligensia kali sana yenye kuona hadi gizani.
Rais Samia ndio Mboni Ya Taifa letu. Tutamlinda, kumtetea na kumpigania kwa gharama yoyote ile iwayo.View attachment 3411197
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyu ni wa Mbozi, kuvimbiwa Maharage!Muda wako wa kuwa chawa unahesabika!
Muda c mrefu utarudi Mwakaleli kulima bamia.