Muda wowote Nitaeleza kwa kina juu ya wote wanaotaka Kumyumbisha Rais Samia na kuleta Vurugu na kuigawa CCM

Uzuri umeshajianika sana humu jukwaani siku ya siku ikifika haitakuwa kazi kukudaka.
 
Wewe uzao wa ibilisi unayetetea maovu ya utawala huu dhalimu lazima utalipa tu
Jaribu uone cha moto. Naona umezoea kufanya mambo hayo ndio maana unafikiria unaweza mfanyia kila mtu. Utatafunwa mpaka kizazi chako cha Elfu moja.
 
Epuka usiwe kama Syprian Musiba (utatozwa fidia kubwa ambazo hata uuze mashamba hutaweza);

Tumia busara
 
Wewe ni msemaji wake?
 
Unajitahidi kutype 😂😂
 
Acha maneno yako . Wewe fanya kujaribu ili uone kama utapata hata nafasi ya kurudi kuhadithia wengine.
Wewe mtoto mdogo sana kwenye hizi mambo ndiyo maana ulikimbilia kuweka hata namba zako za simu na utambulisho halisi ukijua utaitwa sasa anaondoka zake Oman kwao tuone utashika wapi bwege mtozeni wewe.
 
Hapo Sasa umeeleweka,ila unafanya makusudi tuu!Ndio maana Watanzania, wanataka no reforms no election,wanamaanavpana si kwa ajili ya chama flani ni kwa Watanzania wote!Hayo ya Vikundi huko sm ndio matokeo ya kutofanya reforms Kilaza Mwashambwa!Kaa kwenye mstari,acha kupotosha,usiwe kwenye kundi la hao .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…