Muda wowote tegemeeni Taarifa ya Kapombe na Hussein kurejeshwa Taifa Stars

Muda wowote tegemeeni Taarifa ya Kapombe na Hussein kurejeshwa Taifa Stars

Kinachochelewesha tu Taarifa yao kutolewa ni jinsi gani Waliowaacha watahimili aibu na chuki zao Binafsi dhidi ya hawa Mabeki Wawili wa pembeni Shomary Kapombe na Mohammed Hussein Tshabalala.

No Upumbavu na Uwendawazimu uliovuka mipaka kwa Wachezaji Wakubwa, Wanaocheza Michuano mikubwa ya Kimataifa, Mahiri kwa Nafasi zao na wana Uzoefu wa kutosha Kuachwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Taifa Stars.

Natamani nimtaje hapa huyo Kiongozi mwenye Chuki na hawa Wachezaji Wawili kwakuwa tu walikataa kutoa 10% ya Jasho lao kwa Mpuuzi huyo wa TFF.

Nitarudi.
We ni linafikii
 
Hao walishakuwa magalasa kitambo sana, wanatesa kwa nguvu ya sangoma.
 
Ni Mpumbavu tu pekee ndiyo alikuwa akijua kuwa kwa Simba SC ambayo Makundi yote Hasimu yameungana baada ya kumaliza tofauti zao na wamefungua / wamekunjua Mioyo yao jana ingefungwa na Horoya FC.

Kupitia Kwako na GENTAMYCINE nakuambia hili huku nikijiamini kabisa kuwa Simba SC ilifungwa na Raja Casablanca FC kwa Usaliti wetu wenyewe kwa wenyewe, ila tungeungana kwa Umoja wetu Siku ile Simba SC angeshinda na hakuna Timu itakayokuja hapa Tanzania Kucheza na Simba SC iliyo na Umoja na Nguvu ikashinda hata ikiwa Liverpool FC yangu au PSG yenu au ile Real Madrid FC yenu.

Nimemaliza.
Ila Genta jaman aaaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kinachochelewesha tu Taarifa yao kutolewa ni jinsi gani Waliowaacha watahimili aibu na chuki zao Binafsi dhidi ya hawa Mabeki Wawili wa pembeni Shomary Kapombe na Mohammed Hussein Tshabalala.

No Upumbavu na Uwendawazimu uliovuka mipaka kwa Wachezaji Wakubwa, Wanaocheza Michuano mikubwa ya Kimataifa, Mahiri kwa Nafasi zao na wana Uzoefu wa kutosha Kuachwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Taifa Stars.

Natamani nimtaje hapa huyo Kiongozi mwenye Chuki na hawa Wachezaji Wawili kwakuwa tu walikataa kutoa 10% ya Jasho lao kwa Mpuuzi huyo wa TFF.

Nitarudi.
Na wasiende hatutaki Shobo. Yaani Kapombe anaachwaje achwaje kwa mfano
 
Swali langu ni moja tu nani alimpa kocha list ya wachezaji wa timu ya taifa, maana kocha kama kocha asiinge acha kuwaita
 
Shomari Kapombe na Mohammed Hussein waitwe kwenye timu ya taifa wakati mwanzo hawakuitwa.....

Nini faida au hasara ya kubadili maamuzi ya mwanzo?
Breaking News na ichukueni kutoka Kwangu GENTAMYCINE na muiamini pia kwa 100% sawa?

Kwakuwa tayari taratibu zingine na Logistics mbalimbali za Safari zimeshafanyika na baadhi ya Wachezaji wameshaanza Safari kuelekea nchini Misri akiwemo Manula, Kakolanya na Yassin ni kwamba Kikosi kikirejea baada ya kucheza na The Cranes ( Timu ya Taifa ya Uganda ) Wachezaji hawa Muhimu, Mahiri, Wazoefu na Tegemeo nchini Shomary Kapombe na Mohammed Hussein Tshabalala watajumuishwa Kikosini.

Na hiki ndicho hata jana Kocha Mkuu wa Taifa Stars aliwaambia na Kuwahakikishia huku akiwaomba Radhi pia.

Chukueni hi kwani nimeitoa Jikoni.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
,[emoji1][emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]alisema 200%hafuzu simba
Kama una Ushahidi wa 100% kuwa Mimi au ID yangu hii pekee na tukuka hapa JamiiForums ya GENTAMYCINE ilisema hivyo weka hapa tafadhali na kama huna basi ni vyema tu Ukanyamaza ili usinilazimishe nikaanza Kukudharau ukizingatia Wengine tuna Dharau Kali na za Asili pia sawa!?
 
Swali langu ni moja tu nani alimpa kocha list ya wachezaji wa timu ya taifa, maana kocha kama kocha asiinge acha kuwaita
Kiongozi Mmoja Mpuuzi hivi hapo TFF na ambaye nimecheza nae Mpira akiwa Makongo Shuleni na Mimi nikiwa Timu yangu ( Chama langu ) la Kawe Rangers miaka ya 90 kuelekea ya 2000.
 
Tusidanganyane miaka ya hivi karibuni hakuna beki za pembeni wazawa Bora kama shomari na zimbwe, wote tunajua matatizo ya timu ya taifa Kwa kiasi kikubwa yanatokea wapi, kwenye mpira hakuna njia ya mkato...watu huuliza wamefanya Nini hao wawili miaka yote waliyoitwa kwani mpira wanacheza wao peke Yao?, Tz mpira ni siasa.
 
Yaan ana hataree huyu baba. Lol
Wewe na Shunie mngekuwa Wake zangu kama Dini yangu ya Kikristo na Dhehebu langu Tukuka Duniani la Katoliki ( siyo lile Feki la Mtume Wao Mwamposa ) lingeruhusu Kuoa Wake wengi hakyanani nyie Wawili mngekuwa Wake zangu na Ningefurahi ile mbaya.

Nawapenda kuliko vile nyie mjuavyo.
 
Ahsanteeeee Genta, [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom