Mudathir Yahaya Awagalagaza Simba goli bora Caf

Mudathir Yahaya Awagalagaza Simba goli bora Caf

mganda og

Senior Member
Joined
Feb 23, 2023
Posts
134
Reaction score
445
Kiungo mahiri wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania Mudathir Yahaya leo ameibuka kinara kwa goli lake alilofunga dhidi ya Tp Mazembe kuchaguliwa kuwa bao Bora la mashindano ya Caf hatua ya makundi.

20230405_180735.jpg
 
Wana Simba wengi ni kama wachawi vile, mafanikio haya ya Yanga kimataifa yanawaumiza sana
Binadamu mmeumbwa kusahau. Yanga mmeumbwa kusahau, mmeshasahau mlifanya nn kwa chama, ushindi ukaenda Misri.

Nkipiga Kura km zote ili chama au kanoute asishinde.
 
Sema Kura zinapigwa twitter

Ambapo katika twitter wanatwitter wengi ni mashabiki wa kariakoo clubs.

Lazima ashinde.

So far Kama ingekuwa inaamuliwa na football technicians basi huenda lingekuwa sio la mudadhiri
 
Daah, Yanga inawajambisha Simba[emoji23][emoji23]
Kwa lipi mkuu, kwa Mara ya kwanza wanaingia kwa goli bora.

Mbona. Kwa Simba Ni kawaida Sana tangu goli la Miquisone dhidi ya Al Ahly.

Yanga kwa haya Mambo Ni km mtoto wa chekechea.

Kumbuka umecheza hatua ya makundi baada ya miaka 20.

Labda sio mfuatiliaji wa michezo Bali unakuja humu kukomenti.
 
Kuwa na nidhamu basi kwa sisi wazalendo tuliompgia kura japo tupo upande ule
 
'Kuwagalagaza' Simba maana yake alikuwa anashindana nao au? Hebu kuwa muwazi.

Inawezekana vipi goli la ndondo cup a.k.a chandimu 'likagalagaza' watu wanaocheza ligi ya mabingwa?

Kama sio wehu ni nini hiki?
Goli la Sakho alikua anacheza ligi gani wewe mbumbumbu kijana
 
Back
Top Bottom