Mudathir Yahaya Awagalagaza Simba goli bora Caf

Mudathir Yahaya Awagalagaza Simba goli bora Caf

Simba amefanikiwa sana kimataifa kuliko yanga, unajua sakho anatuzo ya goli Bora la mashindano yote ya vilabu? Sio group stage tu
Goli alilolifunga kwenye mashindano ya looser, nakazia
 
Kiungo mahiri wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania Mudathir Yahaya leo ameibuka kinara kwa goli lake alilofunga dhidi ya Tp Mazembe kuchaguliwa kuwa bao Bora la mashindano ya Caf hatua ya makundi.

View attachment 2577529
Anawagaragazaje Simba ambao wako Champions na hilo goli amefunga kwa maloozer
 
Back
Top Bottom