Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Goli alilolifunga kwenye mashindano ya looser, nakaziaSimba amefanikiwa sana kimataifa kuliko yanga, unajua sakho anatuzo ya goli Bora la mashindano yote ya vilabu? Sio group stage tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goli alilolifunga kwenye mashindano ya looser, nakaziaSimba amefanikiwa sana kimataifa kuliko yanga, unajua sakho anatuzo ya goli Bora la mashindano yote ya vilabu? Sio group stage tu
Anawagaragazaje Simba ambao wako Champions na hilo goli amefunga kwa maloozerKiungo mahiri wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania Mudathir Yahaya leo ameibuka kinara kwa goli lake alilofunga dhidi ya Tp Mazembe kuchaguliwa kuwa bao Bora la mashindano ya Caf hatua ya makundi.
View attachment 2577529