Mudathir Yahaya Awagalagaza Simba goli bora Caf

Mudathir Yahaya Awagalagaza Simba goli bora Caf

Acha upumbavu mimi ni Simba na nimempigia..
 
Acha upumbavu mimi ni Simba na nimempigia..
Wachawi toka lini mkatupenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena wewe ndo huyu hapa[emoji116]
Screenshot_20230405-153547.jpg
 
Kiungo mahiri wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania Mudathir Yahaya leo ameibuka kinara kwa goli lake alilofunga dhidi ya Tp Mazembe kuchaguliwa kuwa bao Bora la mashindano ya Caf hatua ya makundi.

View attachment 2577529
Ila kuna watu wanawashwa aisee, yani bila kujilinganisha na simba mtu haoni raha! Khaa, sasa hapo wanaume zenu wanahusikaje, ebu wapumzisheni wanaume zenu wana majukumu mazito kimataifa!
 
Wana Simba wengi ni kama wachawi vile, mafanikio haya ya Yanga kimataifa yanawaumiza sana
Simba amefanikiwa sana kimataifa kuliko yanga, unajua sakho anatuzo ya goli Bora la mashindano yote ya vilabu? Sio group stage tu
 
Kiungo mahiri wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania Mudathir Yahaya leo ameibuka kinara kwa goli lake alilofunga dhidi ya Tp Mazembe kuchaguliwa kuwa bao Bora la mashindano ya Caf hatua ya makundi.

View attachment 2577529
Simba wangepiga against Mudahir asingetoboa.Huijui wewe nguvu ya Simba mtandaoni

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
'Kuwagalagaza' Simba maana yake alikuwa anashindana nao au? Hebu kuwa muwazi.

Inawezekana vipi goli la ndondo cup a.k.a chandimu 'likagalagaza' watu wanaocheza ligi ya mabingwa?

Kama sio wehu ni nini hiki?
Yaani kabisa unatumia nguvu na akili yako uliyobarikiwa na Mungu kuwaelimisha hao manyani?
 
SIMBA WANA KIATU CHA GOLI BORA LA MASHINDANO CAF.
USIJIFANANISHE NA SIMBA

FICHA UJINGA. 🙏
 
Binadamu mmeumbwa kusahau. Yanga mmeumbwa kusahau, mmeshasahau mlifanya nn kwa chama, ushindi ukaenda Misri.

Nkipiga Kura km zote ili chama au kanoute asishinde.
Vyura tangu lini wakawa na kumbukumbu
 
Binadamu mmeumbwa kusahau. Yanga mmeumbwa kusahau, mmeshasahau mlifanya nn kwa chama, ushindi ukaenda Misri.

Nkipiga Kura km zote ili chama au kanoute asishinde.
Kama ulimpigia KURA mwingine ashinde, WEWE NA HUYO MWINGINE MMESHINDWA
 
Binadamu mmeumbwa kusahau. Yanga mmeumbwa kusahau, mmeshasahau mlifanya nn kwa chama, ushindi ukaenda Misri.

Nkipiga Kura km zote ili chama au kanoute asishi

Binadamu mmeumbwa kusahau. Yanga mmeumbwa kusahau, mmeshasahau mlifanya nn kwa chama, ushindi ukaenda Misri.

Nkipiga Kura km zote ili chama au kanoute asishinde.
Chama ni mzambia, mudathir ni Mtanzania mwenzetu. Tunakuwa wazalendo kwa vyakwetu tu
 
Back
Top Bottom