Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Kwani hujui Simba na Yanga ni Watani wa jadi miaka nenda rudi?Mimi ni Yanga na nimefurahi kijana kachukua tuzo
Ila nimepata wakati mgumu sana kuelewa Simba anahusikaje hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hujui Simba na Yanga ni Watani wa jadi miaka nenda rudi?Mimi ni Yanga na nimefurahi kijana kachukua tuzo
Ila nimepata wakati mgumu sana kuelewa Simba anahusikaje hapa
Yanga hoyeeeeKiungo mahiri wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania Mudathir Yahaya leo ameibuka kinara kwa goli lake alilofunga dhidi ya Tp Mazembe kuchaguliwa kuwa bao Bora la mashindano ya Caf hatua ya makundi.
View attachment 2577529
Simba hawawezi umizwa na watu waliopo kombe la loosers wakati wao wako klabu bingwa , amka toka usingizini utajinyeaWana Simba wengi ni kama wachawi vile, mafanikio haya ya Yanga kimataifa yanawaumiza sana
Mchawi utamjua tu, hata ufanikiwe vipi atapinga tu[emoji1][emoji1]Simba hawawezi umizwa na watu waliopo kombe la loosers wakati wao wako klabu bingwa , amka toka usingizini utajinyea
Umesema yanga inajamba Simba???? Haijambi mav*Daah, Yanga inawajambisha Simba[emoji23][emoji23]
Ila kuna watu wanawashwa aisee, yani bila kujilinganisha na simba mtu haoni raha! Khaa, sasa hapo wanaume zenu wanahusikaje, ebu wapumzisheni wanaume zenu wana majukumu mazito kimataifa!Kiungo mahiri wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania Mudathir Yahaya leo ameibuka kinara kwa goli lake alilofunga dhidi ya Tp Mazembe kuchaguliwa kuwa bao Bora la mashindano ya Caf hatua ya makundi.
View attachment 2577529
Simba amefanikiwa sana kimataifa kuliko yanga, unajua sakho anatuzo ya goli Bora la mashindano yote ya vilabu? Sio group stage tuWana Simba wengi ni kama wachawi vile, mafanikio haya ya Yanga kimataifa yanawaumiza sana
Simba wangepiga against Mudahir asingetoboa.Huijui wewe nguvu ya Simba mtandaoniKiungo mahiri wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania Mudathir Yahaya leo ameibuka kinara kwa goli lake alilofunga dhidi ya Tp Mazembe kuchaguliwa kuwa bao Bora la mashindano ya Caf hatua ya makundi.
View attachment 2577529
Wewe muongo, CAF haishindanishi magoli ya Champions League na ya shirikisho, kwanza ni ligi mbili tofauti zenye level zinazotofautiana kwa kiwango kikubwaMudathir Yahaya Awagalagaza Simba goli bora Caf
Yanga hulazimisha battle na simba huku wakijua simba ni level nyingine tofauti kabisa na yangaKiungo mahiri wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania Mudathir Yahaya leo ameibuka kinara kwa goli lake alilofunga dhidi ya Tp Mazembe kuchaguliwa kuwa bao Bora la mashindano ya Caf hatua ya makundi.
View attachment 2577529
Yaani kabisa unatumia nguvu na akili yako uliyobarikiwa na Mungu kuwaelimisha hao manyani?'Kuwagalagaza' Simba maana yake alikuwa anashindana nao au? Hebu kuwa muwazi.
Inawezekana vipi goli la ndondo cup a.k.a chandimu 'likagalagaza' watu wanaocheza ligi ya mabingwa?
Kama sio wehu ni nini hiki?
Siyo kama, ni wachawi kweli..!! Si waliroga hadi nje ya nchi..!! Mapaka FCWana Simba wengi ni kama wachawi vile, mafanikio haya ya Yanga kimataifa yanawaumiza sana
Vyura tangu lini wakawa na kumbukumbuBinadamu mmeumbwa kusahau. Yanga mmeumbwa kusahau, mmeshasahau mlifanya nn kwa chama, ushindi ukaenda Misri.
Nkipiga Kura km zote ili chama au kanoute asishinde.
Kama ulimpigia KURA mwingine ashinde, WEWE NA HUYO MWINGINE MMESHINDWABinadamu mmeumbwa kusahau. Yanga mmeumbwa kusahau, mmeshasahau mlifanya nn kwa chama, ushindi ukaenda Misri.
Nkipiga Kura km zote ili chama au kanoute asishinde.
Binadamu mmeumbwa kusahau. Yanga mmeumbwa kusahau, mmeshasahau mlifanya nn kwa chama, ushindi ukaenda Misri.
Nkipiga Kura km zote ili chama au kanoute asishi
Chama ni mzambia, mudathir ni Mtanzania mwenzetu. Tunakuwa wazalendo kwa vyakwetu tuBinadamu mmeumbwa kusahau. Yanga mmeumbwa kusahau, mmeshasahau mlifanya nn kwa chama, ushindi ukaenda Misri.
Nkipiga Kura km zote ili chama au kanoute asishinde.
Ulitaka tumpigie kura mzambia wakati wazambia wenzake walimtosa!, Pigia kura Mtanzania mwenzio weweVyura tangu lini wakawa na kumbukumbu