Hapana, nilimpigia MudathirUnaambiwa wanasimba walikuwa Wana vote kwa Mu Algeria ili tuzo iende Algeria ila Mudathir Yahaya akawapiga bao[emoji23][emoji23]
Hakuna profesa yoyote anaemwonea wivu moto wa chekechea kisa amefaulu kamtihani. Never everWana Simba wengi ni kama wachawi vile, mafanikio haya ya Yanga kimataifa yanawaumiza sana
Mkuu sio kama, Simba ndio uchawi wenyewe xaxa[emoji1787][emoji1787]Wana Simba wengi ni kama wachawi vile, mafanikio haya ya Yanga kimataifa yanawaumiza sana
Binadamu mmeumbwa kusahau. Yanga mmeumbwa kusahau, mmeshasahau mlifanya nn kwa chama, ushindi ukaenda Misri.Wana Simba wengi ni kama wachawi vile, mafanikio haya ya Yanga kimataifa yanawaumiza sana
Kwa lipi mkuu, kwa Mara ya kwanza wanaingia kwa goli bora.Daah, Yanga inawajambisha Simba[emoji23][emoji23]
Goli la Sakho alikua anacheza ligi gani wewe mbumbumbu kijana'Kuwagalagaza' Simba maana yake alikuwa anashindana nao au? Hebu kuwa muwazi.
Inawezekana vipi goli la ndondo cup a.k.a chandimu 'likagalagaza' watu wanaocheza ligi ya mabingwa?
Kama sio wehu ni nini hiki?
,🦁Kuwa wachawi sio lazima mbebe tunguri mjue🤔.Wana Simba wengi ni kama wachawi vile, mafanikio haya ya Yanga kimataifa yanawaumiza sana
lilifungwa kwenye ligi gani wewe mbumbumbuWewe mshenzi unafananisha goli bora la week la ndondo cup na goal bora la mwaka la Africa?
Huna akili wewe.