Sexer JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 8,440 Reaction score 8,149 Apr 6, 2023 #41 nguvu said: Simba amefanikiwa sana kimataifa kuliko yanga, unajua sakho anatuzo ya goli Bora la mashindano yote ya vilabu? Sio group stage tu Click to expand... Goli alilolifunga kwenye mashindano ya looser, nakazia
nguvu said: Simba amefanikiwa sana kimataifa kuliko yanga, unajua sakho anatuzo ya goli Bora la mashindano yote ya vilabu? Sio group stage tu Click to expand... Goli alilolifunga kwenye mashindano ya looser, nakazia
BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,188 Reaction score 6,633 Apr 6, 2023 #42 mganda og said: Kiungo mahiri wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania Mudathir Yahaya leo ameibuka kinara kwa goli lake alilofunga dhidi ya Tp Mazembe kuchaguliwa kuwa bao Bora la mashindano ya Caf hatua ya makundi. View attachment 2577529 Click to expand... Anawagaragazaje Simba ambao wako Champions na hilo goli amefunga kwa maloozer
mganda og said: Kiungo mahiri wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania Mudathir Yahaya leo ameibuka kinara kwa goli lake alilofunga dhidi ya Tp Mazembe kuchaguliwa kuwa bao Bora la mashindano ya Caf hatua ya makundi. View attachment 2577529 Click to expand... Anawagaragazaje Simba ambao wako Champions na hilo goli amefunga kwa maloozer
Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,884 Apr 6, 2023 #43 Head ya uzi ni ya kigay gay