Muelekeo wa Uwekezaji nchini chini ya uongozi wa Prof. Mkumbo, Tunatokaje tulipo?

Hii maana yako ya kwenye makaratasi una hakika ndivyo inavyomaanishwa kwa vitendo? au wewe ni mgeni Tz hujawahi kusikia/kuona hilo neno hutumika vipi? umewahi kusikia kauli "vyombo vya dola" huwa ina maanisha nini? au kwa akili zako za kukariri ndio humaanisha sovereignty? wacha kufundisha werevu ujinga.
 
Hii wizara kama angekabidhiwa Prof Mkenda, Bashe ama Kimei nafikiri tungeona ubunifu fulani.
Are you sure? Tatizo la JF wengi njaa zinawasumbua. Kufanikiwa kupata wawekezaji ni sera na sio mtu. Wacheni majungu kosoeni sera sio kuwashambulia individuals. Wekeni mawazo mbadala na mifano if possible.

Mtu analalamika ati kodi sio rafiki ulitaka shangazi yako ndio alipe kodi na wengine wasilipe? Kodi ndio kila kitu, tena kodi za Tanzania bado zipo chini. Ili nchi iendelee lazima kodi ziangaliwe upya na ikibidi zingine ziongezwe. Hatuwezi kupiga hatua kama kodi zetu zitadumaa.
 
Are you serious?
 
JK alifika sehemu akawa drop, mtu anafika ulaya anaanza kuomba msaada wa arv, oh mie nalea viwete na mataahira, who wants all those stories!
 
Mawaziri wetu Bhana. Mh Molel aliulizwa kama kuna Corona. Jibu alilotoa ni kwamba Lissu alikuja akafanya mikutano bila barakoa.
 
TRA inatakiwa kubadilika kabisa ili kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji.
Wazo langu kubwa kwa TRA ni kwamba wabuni njia za kukuza biashara ndogo na pia kutowa support kwa biashara kubwa ili kuwe na mzunguko wa pesa wakutosha kwa ajili ya wao kukusanya kodi na siyo kuweka kodi nyingi nyingi zinaso umiza na kusababisha biashara kufa.
 
Shida njaaa zinatumiza sana wafrica. Hizi njaa zinafanya mpka usaliti unakuwepo. Ndomana mimi nasema africa amna siasa bali ni filam tupu. Huyu katoka huku huyu karudi huku. Ni ukicha.
Ma proffesor njaa nao sijuwi ni uprofessa gani apa bongo huo amna innovation zozote tu kazi kusagia siasa.
 
Ni aina mojawapo ya maprofesor wa majalalani
Huwa naumia sana nikisikia proffesor yyote apa bongo anaongea nonsense yani naona kabisa hawana faida yoyote walio pata katk masomo yao zaidi yakuongeza ujinga tu.
 
Hivi kwanini hii wizara wasipewe watu walio fanikiwa kibiashara apa Tz ili watoe hizo mbinu zao kusaidia biashara ndogo ndogo kukua.
Mfano Bakhresa awe waziri wa viwanda na uwekezaji.
Katibu mkuu awe Mo dewiji ili watusaidie hapo swala zima la uwekezaji mana hao mawaziri wanao wekwa wengi elimu za vitabuni experience hawana. Hata biashara ya spea za magari hana sasa ndo waongoze uchumi wa Taifa zima
 

Mkuu unajua maana ya $15b, au umeandika ili kutishia wasiojua lolote? Ungesema hiyo ndio hela wangalau Tanzania inatarajia kutumia kwenye miradi yake ningekuelewa,na sio kusema hiyo hela yote imetolewa. Kama hizo $15b zingekuwa zimetolewa mpaka sasa, miradi ya SGR & SG respectively ingekuwa imekamilika kwa 100%. Rejea figure zako kwanza.
 

Kwa taarifa yako kuvutia wawekezaji huku kwetu Afrika ni mtu, hasa kiongozi aliye madarakani. Sera ni formalities tu, lakini imani waliyo nayo wawekezaji kwa kiongozi huwa ni first priority. Mfano mrahisi, wakati wa JK wangalau aliweza kuvutia wawekezaji wachache, lakini toka ameingia Magufuli madarakani, hakuna muwekazaji yoyote wa maana amekuja, ukiachia wachache waliopo iliobidi wakubaliane na mazingira mapya. Na hadi Magufuli atoke madarakani, sitegemei kama anaweza kupata muwekezaji wa kuwekeza mtaji kama wa Dangote kwa mfano.
 
Wewe ni mpuuzi kweli! Kodi za Tanzania zipo chini, unaota?

Katika Dunia, nchi zinazoongoza kwa kodi kubwa na nyingi ni Tanzania na South Africa.

Tanzania ndiyo nchi yenye mazingira mabaya kabisa ya uwekezaji kwenye sekta ya madini, ikifuatiwa na Venezuela.

Usichojua, hakuna nchi hata moja Dumiani iliyokuwa maskini iliyowahi kupata maendeleo na kuondokana na umaskini kwa kuongeza kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…