Muendelezo: Siku niliotwangana makonde na msichana

Muendelezo: Siku niliotwangana makonde na msichana

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,136
Reaction score
3,081
Habaran wana jamii forum hope wote mna weekend njema nadhan wengi sn mlisoma ule uzi wangu siku nilipotwangana makonde na demu sasa nimeona itakuwa sio km ntaachia stor kat maana kila mmoja alibaki na maswali sasa tuendelee

Niliishia pale demu alipoenda ndan na kunikabith vitu vyangu hii ni baada ya kumtwanga makonde basi bwana bidada akiwa amefula nilimwambia naomba unipe vitu vyangu nisepe akaingia ndan akachukua nguo zangu alizonifulia .laptop yngu niliomuazima pamoja na simu yngu niliompa akanipa

Nikamwambia na ile 10000 niliokutumia nirudishie maana umenidanganya aliwaka na kusema siwez kukupa sababu eti nilimpa km mpenz wake sasa nikamwambia tulikubaliana nikupe io hela ili upike nije tule sasa umenidanganya nirudishie io ela urafik wetu basi akanipa 5000 nikamwambia nimekutumia 10000 nipe 10000 akagoma

Akachukua ile simu niliompa akachomoa laini zake lakini aliniomba nimuachie io simu kesho atanipa nikagoma akaniambia nimsubiri mara moja anaenda ndan anakuja aiseeee nikajiuliza km vitu vyangu vyote ashanipa sasa nasubir nn apa ngoja nisepe tu

Sasa nilipofika geto nikawasha pc na ile simu simu niliompa aisee kumbe demu alisahau kufuta sms na kwenye facebook yake hakulog out nilichokikuta huko sasa ucombe

Watu wamepangwa msururu kila mtu anaitwa anaitwa baby mbaya zaid kuna ambao walikuwa wanataka wapigwe vizinga kila mtu na style yke huyu sina hela ya kusuka .yule ntumie.huyu nina mimba nitumie pesa nikatoa . Na yule kule simu imeingia kwenye maji

Nilikuwa na hasira bado nilichofanya ni kuanza kuwasiliana nao hawa watu na kuwapa taarifa kuwa huyu demu ni malaya na hana mimba wala nn kwa maana mm nimelala nae siku chache zilizopita na ivo wasizulumiwe watu wakaja na majibu tofaut tofaut wapo walioniunga na kunishujuru sn wapo waliompiga demu simu na kumwambia kuwa kuna mtu anakinukisha huku na wapo walioenda mbali zaid kqa kutaka kumfanyia mtungo demu kumchapa mbele na nyuma at once

Kesho yke mchana nilipokea sms kutoka kwa demu akinipiga biti
Kuwa nijipange maana nawasiliana na watu ambao ni tegemeo lake na wengi wameanza kutomwamin sikujali

Niliwasiliana na lile jamaa lake ambalo lilikuwa na mpango wa kumfanyia mtungo nikamwambia utawezaje akasema tutamlewesha demu na akaniambia kesho yke jion dili litaanzia pale bar ya leo tena karibu na kampala international univeraity kesho ikafika bwana jamaa akanipigia simu kuwa yuko na demu leo tena anamlewesha huyu jamaa hakumwambia demu km ameambiwa chochote na mm alikuwa kimya sasa mm na mihasira yngu nikaibuka leo tena huku nikijifanya npo kwenye mishe zangu lkn lengo ni kutaka kuhalalisha uharamu na denu aliweshwe tumalize demu baada ya kuniona pale baa aisee kulitokea kivumbi alishika chupa ya bia ili anipige nayo yule mshikaj akamuwah kumpora tukajunjana tena bodaboda kibao security wa baa washaanza kusogea hapa akabid niwe mpole nikasepa dili likaaribika ntaendelea
 
Maisha ya mtu hupembua pia uwezo wa akili yake! Mkuu kwani ungeachana nae tu kwani kuna tatizo..? Hizo purukushani unazofanya mbona zinakuaibisha inakuwa kama vile limbukeni wa maisha!.. mbovu mbaya sana kwetu sisi wanaume kumuacha demu na kuendelea kumfatilia tena kishamba namna hiyo!.

Nikupe ushauri murua tu fanya yako yeye na wewe mmeshamalizana acha ushamba
 
Mwache atupe ucheshi bhana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Natarajia kuona mwisho wa story hii ukiandika hivi "Mara nikakurupuka kutoka usingizini na ndoto yangu ikaishia hapo"

Maana haiwezi kuwa habari ya ukweli hii,sababu imejaa ulimbukeni na ushamba wa kupitiliza. Huweza kujisifia hadharani kufanya udhalilishaji mkubwa na namna hii.Chukulia tuu huyu ni dada yako ndiyo anayefanyiwa hivi
 
Ni story nilitaman niweke ata na sms na majina ya watu waone kwamba ni true story
Nakubali sikuwa sahihi sawa lkn nilikuwa mchanga sn kwenye mapenz ni stpr ya miaka km nane iliopita
 
jamaa ni limbukeni alafu inaonekana shule hana ujue shule inaleta ustaarabu flani hivi
 
Back
Top Bottom