Umeachana nae..ukampiga ukadai vitu vyako..haikutosha ukataka kumpiga mtungo..haikutosha Bado ukawatafuta wanaume zake, na Bado story inaendelea.Hasira baba hawa viumbe wanakera km bdo ujawazoea unaweza jikuta ushatoa kichapo heavy
Unajua unaweza kujiona ww ni mwanamke mkamilifu lkn kumbuka jambo usilolijua ni km ucku giza wanasaikolojia wanasema PANIC CAN LET YOU DO THINGS THATS YOU SHOULDNT YOU CAN DO hasira zinaweza sababisha ukafanya kitu usichotarajiaUmeachana nae..ukampiga ukadai vitu vyako..haikutosha ukataka kumpiga mtungo..haikutosha Bado ukawatafuta wanaume zake, na Bado story inaendelea.
Hujioni unashida kwenye ubongo wako?.
Tueleze baada ya kutwangana mara pili je ulipata faida gani..
Maana kwakuleta bandiko hapa..imedhihirisha Wewe ni mwanaume DHAIFU SANA.
Jamaa umesomea saikolojia nn maana umejibu very clearMmeachana na vitu vyako umepewa na bado unamfatilia, yanini yote hayo? Siyo bure wewe ndiye ulimpenda Sana na wewe ndio umeumia Sana .....hebu kuwa na busara..
Grow up baana... We all suffer pain but our reactions differentiate us.Unajua unaweza kujiona ww ni mwanamke mkamilifu lkn kumbuka jambo usilolijua ni km ucku giza wanasaikolojia wanasema PANIC CAN LET YOU DO THINGS THATS YOU SHOULDNT YOU CAN DO hasira zinaweza sababisha ukafanya kitu usichotarajia
Sasa ww unakuja kichwa kichwa unajua uyu dada nilikaaa nae kwa mda gan unajua tulifanya nn kipind tupo wote unajua tumepitia mangap
Haujui tulipotoka utajuaje tunapokwenda sasa kwa kukudokeza tu baada ya ilo so na mda kupita kuna siku akanitumia sms nimuazime laptop yngu sikujibu ila nilijua ndo mwanzo wa kurudiana
Mkuu, maelezo yake tu yanaonesha kila kitu.Jamaa umesomea saikolojia nn maana umejibu very clear
Wanaotoka Kolomije mnajulikana tu mnapoingia MjiniHaujui tulipotoka utajuaje tunapokwenda sasa kwa kukudokeza tu baada ya ilo so na mda kupita kuna siku akanitumia sms nimuazime laptop yngu sikujibu ila nilijua ndo mwanzo wa kurudiana
Sikia ww chuo nshamaliza mda na pia ujue tu ktk mapenz ata pipi ina thaman sn sasa we jitie kupenda sn honga io IST km pesa unazo atakuheshimu sn ila km ndo unajitutumua anakuona fara mama yko mwenyewe anagombania mabas ww unamuhonga demu IST akili unazo kwelWanaotoka Kolomije mnajulikana tu mnapoingia Mjini
wewe Laptop ndio unaiona ya maana hasa
je wenzako wanaotoa Gari IST na kuweka mafuta ndio wasemeje?
km ni mpaka mwaka huu unamringishia Laptop basi hajamaliza chuo
hebu maliza hizo bia hapo Bar beba barmaid ukalale
kweli usemayo, lkn mm natoa nyumba licha ya IST na Mama yangu akaishi na Baba yanguSikia ww chuo nshamaliza mda na pia ujue tu ktk mapenz ata pipi ina thaman sn sasa we jitie kupenda sn honga io IST km pesa unazo atakuheshimu sn ila km ndo unajitutumua anakuona fara mama yko mwenyewe anagombania mabas ww unamuhonga demu IST akili unazo kwel
18 years oldHabaran wana jamii forum hope wote mna weekend njema nadhan wengi sn mlisoma ule uzi wangu siku nilipotwangana makonde na demu sasa nimeona itakuwa sio km ntaachia stor kat maana kila mmoja alibaki na maswali sasa tuendelee
Niliishia pale demu alipoenda ndan na kunikabith vitu vyangu hii ni baada ya kumtwanga makonde basi bwana bidada akiwa amefula nilimwambia naomba unipe vitu vyangu nisepe akaingia ndan akachukua nguo zangu alizonifulia .laptop yngu niliomuazima pamoja na simu yngu niliompa akanipa
Nikamwambia na ile 10000 niliokutumia nirudishie maana umenidanganya aliwaka na kusema siwez kukupa sababu eti nilimpa km mpenz wake sasa nikamwambia tulikubaliana nikupe io hela ili upike nije tule sasa umenidanganya nirudishie io ela urafik wetu basi akanipa 5000 nikamwambia nimekutumia 10000 nipe 10000 akagoma
Akachukua ile simu niliompa akachomoa laini zake lakini aliniomba nimuachie io simu kesho atanipa nikagoma akaniambia nimsubiri mara moja anaenda ndan anakuja aiseeee nikajiuliza km vitu vyangu vyote ashanipa sasa nasubir nn apa ngoja nisepe tu
Sasa nilipofika geto nikawasha pc na ile simu simu niliompa aisee kumbe demu alisahau kufuta sms na kwenye facebook yake hakulog out nilichokikuta huko sasa ucombe
Watu wamepangwa msururu kila mtu anaitwa anaitwa baby mbaya zaid kuna ambao walikuwa wanataka wapigwe vizinga kila mtu na style yke huyu sina hela ya kusuka .yule ntumie.huyu nina mimba nitumie pesa nikatoa . Na yule kule simu imeingia kwenye maji
Nilikuwa na hasira bado nilichofanya ni kuanza kuwasiliana nao hawa watu na kuwapa taarifa kuwa huyu demu ni malaya na hana mimba wala nn kwa maana mm nimelala nae siku chache zilizopita na ivo wasizulumiwe watu wakaja na majibu tofaut tofaut wapo walioniunga na kunishujuru sn wapo waliompiga demu simu na kumwambia kuwa kuna mtu anakinukisha huku na wapo walioenda mbali zaid kqa kutaka kumfanyia mtungo demu kumchapa mbele na nyuma at once
Kesho yke mchana nilipokea sms kutoka kwa demu akinipiga biti
Kuwa nijipange maana nawasiliana na watu ambao ni tegemeo lake na wengi wameanza kutomwamin sikujali
Niliwasiliana na lile jamaa lake ambalo lilikuwa na mpango wa kumfanyia mtungo nikamwambia utawezaje akasema tutamlewesha demu na akaniambia kesho yke jion dili litaanzia pale bar ya leo tena karibu na kampala international univeraity kesho ikafika bwana jamaa akanipigia simu kuwa yuko na demu leo tena anamlewesha huyu jamaa hakumwambia demu km ameambiwa chochote na mm alikuwa kimya sasa mm na mihasira yngu nikaibuka leo tena huku nikijifanya npo kwenye mishe zangu lkn lengo ni kutaka kuhalalisha uharamu na denu aliweshwe tumalize demu baada ya kuniona pale baa aisee kulitokea kivumbi alishika chupa ya bia ili anipige nayo yule mshikaj akamuwah kumpora tukajunjana tena bodaboda kibao security wa baa washaanza kusogea hapa akabid niwe mpole nikasepa dili likaaribika ntaendelea
From her friend najuana nae ndio nayy nikafahamiana naeUlimpata wapi huyo mwanamke???