Mwache atupe ucheshi bhana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maisha ya mtu hupembua pia uwezo wa akili yake! Mkuu kwani ungeachana nae tu kwani kuna tatizo..? Hizo purukushani unazofanya mbona zinakuaibisha inakuwa kama vile limbukeni wa maisha!.. mbovu mbaya sana kwetu sisi wanaume kumuacha demu na kuendelea kumfatilia tena kishamba namna hiyo!.
Nikupe ushauri murua tu fanya yako yeye na wewe mmeshamalizana acha ushamba
Ni story nilitaman niweke ata na sms na majina ya watu waone kwamba ni true storyNatarajia kuona mwisho wa story hii ukiandika hivi "Mara nikakurupuka kutoka usingizini na ndoto yangu ikaishia hapo"
Maana haiwezi kuwa habari ya ukweli hii,sababu imejaa ulimbukeni na ushamba wa kupitiliza. Huweza kujisifia hadharani kufanya udhalilishaji mkubwa na namna hii.Chukulia tuu huyu ni dada yako ndiyo anayefanyiwa hivi
Utotp shida sn rafik yangu nilikuwa mchanga sn kimapenzUmekosa hekima kaka
To be continued next week ntatoa full story jinsi nilivyomtia mabaga mengine ila safar hii alinichana na makucha kwenye shingo
Ni stor ya mda mrefu io na nilikuwa chuo first yearjamaa ni limbukeni alafu inaonekana shule hana ujue shule inaleta ustaarabu flani hivi
Hasira baba hawa viumbe wanakera km bdo ujawazoea unaweza jikuta ushatoa kichapo heavyHuyu ni mwanaume anaandika hivii ? Kwa nn mahusiano ya waafrica wengi mi mpaka ngumi ?
Sio chai hii ni real story miaka kadhaa iliopita huwa nikikumbuka nacheka snsina sukari
Mkuu utaua tu bure hawa viumbe boss uende jela maisha yako yooote na hata hiyo mbunye usiione tenaHasira baba hawa viumbe wanakera km bdo ujawazoea unaweza jikuta ushatoa kichapo heavy
Nipo baa nimelewa ndugu mnisamehe na mwandikomaana sikuwa na mda wa kueditKwa Mwandiko Huu Ni Sababu Tosha Kabisa Kuweza Kutwangana Makonde Na Mwanamke.