Muendelezo: Siku niliotwangana makonde na msichana

Hasira baba hawa viumbe wanakera km bdo ujawazoea unaweza jikuta ushatoa kichapo heavy
Umeachana nae..ukampiga ukadai vitu vyako..haikutosha ukataka kumpiga mtungo..haikutosha Bado ukawatafuta wanaume zake, na Bado story inaendelea.

Hujioni unashida kwenye ubongo wako?.
Tueleze baada ya kutwangana mara pili je ulipata faida gani..

Maana kwakuleta bandiko hapa..imedhihirisha Wewe ni mwanaume DHAIFU SANA.
 
Mmeachana na vitu vyako umepewa na bado unamfatilia, yanini yote hayo? Siyo bure wewe ndiye ulimpenda Sana na wewe ndio umeumia Sana .....hebu kuwa na busara..
 
Unajua unaweza kujiona ww ni mwanamke mkamilifu lkn kumbuka jambo usilolijua ni km ucku giza wanasaikolojia wanasema PANIC CAN LET YOU DO THINGS THATS YOU SHOULDNT YOU CAN DO hasira zinaweza sababisha ukafanya kitu usichotarajia

Sasa ww unakuja kichwa kichwa unajua uyu dada nilikaaa nae kwa mda gan unajua tulifanya nn kipind tupo wote unajua tumepitia mangap

Haujui tulipotoka utajuaje tunapokwenda sasa kwa kukudokeza tu baada ya ilo so na mda kupita kuna siku akanitumia sms nimuazime laptop yngu sikujibu ila nilijua ndo mwanzo wa kurudiana
 
Mmeachana na vitu vyako umepewa na bado unamfatilia, yanini yote hayo? Siyo bure wewe ndiye ulimpenda Sana na wewe ndio umeumia Sana .....hebu kuwa na busara..
Jamaa umesomea saikolojia nn maana umejibu very clear
 
Nadhani nilikuwa nafanya makosa kususia jukwaa hili. Ha ha ha aa!!! Vijana wa leo mna vituko !!!
 
Grow up baana... We all suffer pain but our reactions differentiate us.
 
Haujui tulipotoka utajuaje tunapokwenda sasa kwa kukudokeza tu baada ya ilo so na mda kupita kuna siku akanitumia sms nimuazime laptop yngu sikujibu ila nilijua ndo mwanzo wa kurudiana
Wanaotoka Kolomije mnajulikana tu mnapoingia Mjini
wewe Laptop ndio unaiona ya maana hasa
je wenzako wanaotoa Gari IST na kuweka mafuta ndio wasemeje?
km ni mpaka mwaka huu unamringishia Laptop basi hajamaliza chuo
hebu maliza hizo bia hapo Bar beba barmaid ukalale
 
Sikia ww chuo nshamaliza mda na pia ujue tu ktk mapenz ata pipi ina thaman sn sasa we jitie kupenda sn honga io IST km pesa unazo atakuheshimu sn ila km ndo unajitutumua anakuona fara mama yko mwenyewe anagombania mabas ww unamuhonga demu IST akili unazo kwel
 
Unatuaibisha sana wanaume, kama sijakosea utakuwa mwanaume wa Dar ww.
 
kweli usemayo, lkn mm natoa nyumba licha ya IST na Mama yangu akaishi na Baba yangu
kuna watu kibao wanajenga nyumba na mlinzi wa kimasai kulinda dyudyu wewe unamuachia anaenda Bar kwa wenzako, umeona wanavyomnywesha na kula wapendavyo wapenzi kupeana
ww ukaambulia chpa na mangumi, mwenzako kenda pewa
badilika hicho kitu kinaenziwa sio kubezwa na kuadhibiwa
 
18 years old
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…