Pale majinja serikali waliwanyang'anya kinguvu wananchi bila kuwalipa na viboko juu eneo wakapewa 841 kj mapagale,makaburi na miti ya ulanzi ipo pale sasa wazee wakasema tumemuachia mungu basi kila mara ni mwendo wa kumwaga damu serikali haijaligundua hilii watu wataliwa sana pale