DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Mawaidha yanayozungumziwa sio ya Mchana wala jioni mkuu ni Mara baada ya adhana ya 1 Fajir (Subuh)Mawaidha yanatakiwa yasikike kwa walio ndani tu. Mbona kuna misikiti mingi mjini lakini sijawahi sikia hizo kelele. Misikiti ya uswazi ndio ina hayo mambo
Bora ije na huku pia.Rwanda walipiga marufuku makanisa na misikiti kutumia vipaza Sauti Nje
Chumba ni kaburi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Kitanda ni jeneza, shuka ni sanda, amka muislamu wewe ukaswali, adhabu ya kabri....". And stuffs like that[emoji23]
Hahahahaha pole Sana Rafiki, umeandika Kwa hisia sana sana, I can imagine ndio Jumamosi unataka upumzike kidogo ndio Kuna Mkesha hapo then asubuhi Kuna swalaBora ije na huku pia.
Kumbe Daawah inakuingia umeanza kuhifadhi hata maneno yake in out inakuingia sana na huo ndio ukweli wenyewe."Kitanda ni jeneza, shuka ni sanda, amka muislamu wewe ukaswali, adhabu ya kabri....". And stuffs like thatπ
Una chuki sana na waislamu, waislamu wamekufanya nini? We ku??????masijawahi kusoma muislam akiwa crash waislam wenzake kwa upuuzi wao
Hapa ni sawa mkuu baada ya adhana mic zizimwe na baada ya misa mizike iwe indoor maana eeh hatulali kwa masebeneMimi ni muislamu lakini kuna hoja hapa na tuongee bila kubezana. Hii issue hata nchi za kiarabu zimechukuwa hatua na sio kwa nia mbaya ila wameweka utaratibu. Adhana inakuwa moja tu na sauti iko regulated. Lakini adhana ikiisha tu basi speaker za ndani tu zinawashwa za nje zinazimwa na huu ni utaratibu wa kiungwana. Sisi hapa ni lazima tu copy huu utaratibu sababu ni jambo zuri sana. Lakini pia kwenye makanisa hizi kwaya zisikike ndani tu na mahubiri ndani tu. Tujenge utaratibu mzuri, kumbuka humu mitaani tuna wagonjwa, kuna watoto.
"Kitanda ni jeneza, shuka ni sanda, amka muislamu wewe ukaswali, adhabu ya kabri....". And stuffs like thatπ
Labda warokole wa mtaani kwenu ndo wana hiyo hekima [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wale wana hekima walishasikiliza maagizo ya NEMC na wametii maagizo yao. Imebaki nyie waislam ni wabishi na wakaidi hamfuati sheria za nchi kutwa kupigia watu kelele na miazana yenu kwenye maspika makubwa. Kule Rwanda mmeshikishwa adabu hakuna hayo makelele
Nipo zangu tandale,muadhini wa alfajir akishamaliza kuadhini,utasikia 'nimekuamsha uje kuswali,we unachukua kapu lako safari kariakoo'Hasa kwenye stori pale, hiyo adhana waendelee nayo ni alam yangu, ila kwenye mastori happy naona huwa wanajiongelesha wenyewe na huku kwetu wanapenda sana mastori ya wanawake
Chumba chako ni kaburi lako"Kitanda ni jeneza, shuka ni sanda, amka muislamu wewe ukaswali, adhabu ya kabri....". And stuffs like that[emoji23]
We jamaa unatumia kwa kufikiria nini sasa mtu anayezitaka hizo kelele si aende akazifuate huko ziliko, uliona wapi kitu chenye madhara kikaruhusiwa kwa kuangalia watu wanaokifurahia badala ya watu wanaodhurika, hizo kelele zikipigwa marufuku itampunguzia mtu asiyezipenda madhara ya kukosa usingizi ila huyo anayezipenda itampunguzia kitu ganiMkuu kinachokukera wewe kuna mwingine kinampa Furaha..
Kwahiyo kumridhisha kila mtu huwa ni vigumu sana..
Kwa mfano akasitisha kumbe kuna watu walikuwa wanapenda hicho kitu..na wenyewe wakaja juu kuomba kirudishwe nao hao tutawaitaje?...
Kuna wakati ukiwa kiongozi lazma uwe unajua kuwa huwezi kumridhisha kila mtu kwa sababu kila mtu aa matakwa yke na mipango yake
Na tunatofautiana texture na maono kwenye almost kila kitu
Halafu mkiambiwa kwamba dini yenu haina uvumilivu na dini nyingine na inalazimisha kila mtu awe mfuasi wake mnakuwa wakali, sasa aliyewaambia hayo mawaidha kila mtu anahitaji kuyasikia ni nani kwanini hamheshimu haki za wengine, naunga mkono hiyo adhana yaa kuitana ila baada ya hapo zimeni vipaza za sauti vya nje hayo mawaidha peaneni wenyewe humo misikitini sasa shida ipo wapi hapoMkuu miskiti kuna madhehebu kama kulivyo na wakrito na kila dhehebu lina Taratibu zake..
Na kumbuka zile unazoita kelele ni kabla ya adhana ya pili ni mawaidha ya watu ambao wako nyumbani...
Kulingana na Qurn binadamu tunahitaji kukumbushwa mara kwa mara hili tuweze kuchukua maamuzi mazuri..
Na ndo maana baada ya mawaidha atapiga adhana ya Pili na baadae watu wakishakuja baada ya adhana ya pili huwwzi kusikia tena maana yake watu wataswali na kurudi makwao
Tatizo unaandika kwa kupanic na hasira kwa hyo huwezi kuelewa point yangu kwa sababu umesoma maelezo yangu kwa chuki bila kutumia Busara...We jamaa unatumia kwa kufikiria nini sasa mtu anayezitaka hizo kelele si aende akazifuate huko ziliko, uliona wapi kitu chenye madhara kikaruhusiwa kwa kuangalia watu wanaokifurahia badala ya watu wanaodhurika, hizo kelele zikipigwa marufuku itampunguzia mtu asiyezipenda madhara ya kukosa usingizi ila huyo anayezipenda itampunguzia nini
Mimi sio Muislamu wala sio mkristo bado umeweka chuki na udini na kwa bahati nzuri kwangu na bahati mbaya kwako sipo katika udini..Halafu mkiambiwa kwamba dini yenu haina uvumilivu na dini nyingine na inalazimisha kila mtu awe mfuasi wake mnakuwa wakali, sasa aliyewaambia hayo mawaidha kila mtu anahitaji kuyasikia ni nani kwanini hamheshimu haki za wengine, naunga mkono hiyo adhana yaa kuitana ila baada ya hapo zimeni vipaza za sauti vya nje hayo mawaidha peaneni wenyewe humo misikitini sasa shida ipo wapi hapo