Mufti athibitisha kuandama kwa mwezi Eid kesho, kesho April 10,2024

Mufti athibitisha kuandama kwa mwezi Eid kesho, kesho April 10,2024

Watumishi tuko kama wanafunzi ๐Ÿ˜
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Yaani ikianzia Alhamisi ndio bomba tungagonga long weekend alafu tena tarehe 26 inaangukia ijumaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Halafu kila sehemu mawingu mazito sijui tutaonaje cresent
hata huku mawingu mazito meusi tii yametanda, ni ngumu kuuona mwezi jioni hii, ila utakuwa umetoka na kesho answar sunna watakula idi yao
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Yaani ikianzia Alhamisi ndio bomba tungagonga long weekend alafu tena tarehe 26 inaangukia ijumaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mama anaupiga mwingi
 
Back
Top Bottom