Mufti athibitisha kuandama kwa mwezi Eid kesho, kesho April 10,2024

Watumishi tuko kama wanafunzi 😁
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yaani ikianzia Alhamisi ndio bomba tungagonga long weekend alafu tena tarehe 26 inaangukia ijumaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huku nkuhungu boda tayari umeonekana
Kesho uwakika
 
Halafu kila sehemu mawingu mazito sijui tutaonaje cresent
hata huku mawingu mazito meusi tii yametanda, ni ngumu kuuona mwezi jioni hii, ila utakuwa umetoka na kesho answar sunna watakula idi yao
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yaani ikianzia Alhamisi ndio bomba tungagonga long weekend alafu tena tarehe 26 inaangukia ijumaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mama anaupiga mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…