Mufti Mkuu wa Saudi Arabia: Tulichokiona leo huko Gaza ni fedheha kwa Uislamu, kitendo cha kumkufuru Mwenyezi Mungu

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Ila wanywa gahawa wa bongo wanawa brand kama mashujaa.

SHAME ON YOU!!

Screenshot_20250221-102535.png
 
Ila wanywa gahawa wa bongo wanawa brand kama mashujaa.

SHAME ON YOU!!
View attachment 3243820
Hizo ni administrative strategic statement za viongozi wa dini, ila hazina ukweli wowote, mtu kaua watu zaidi ya 50,000 watoto wadogo na wa zee afiwe mtu moja usikitike sanaa hapana haiwezekani.lazima tabasamu liwepo tu.
 
Sawa ndugu ngoja tuendelee kusubiri ttotoz, tukajilipue wapi, maana trump kabana US
Screenshot_20250221-105709.png
 
Ila wanywa gahawa wa bongo wanawa brand kama mashujaa.

SHAME ON YOU!!

Hizo ni administrative strategic statement za viongozi wa dini, ila hazina ukweli wowote, mtu kaua watu zaidi ya 50,000 watoto wadogo na wa zee afiwe mtu moja usikitike sanaa hapana haiwezekani.lazima tabasamu liwepo tu.
Nafikiri huyo Mufti ana Haki ya kutoa maoni yake endapo kama anaona mambo hayaendi sawa. Ni Haki yake.
 
Uyo muft atakuwa yahud aliyejfcha kwenye uislam

Ndug zangu waislam msifanye urafk na mayahud wakristu na makafiri 🤗
 
Hivi kwanini watanzania tabaka la masikini wengi kua na chuki na uislamu bila sababu yote?
Kww sababu tumekubali kuwa masikini lakini sio kutapelika kindezi na ugaidi wa iran na hamas kama wewe.

Una ingine wewe muuaji wa yahudi na wakristo??
 
Sawa ndugu ngoja tuendelee kusubiri ttotoz, tukajilipue wapi, maana trump kabana US
View attachment 3243864
Kwahiyo mzee Mugabe ashapata bikra zake hukoo!
Halafu hii habari kuwa mabikra wapo 72 ni nani aliyewwlisha matango pori enyi wagalatia msio na akili?!
Quran imetaja waja wema moja ya neema ambazo watakirimiwa ni wanawake waliotakasika na ambao watakuwa katika hali ya ubikra!
Hapajatajwa idadi kuwa ni 72 Wala 102 !
Ikiwa mtu aliishi na mkewe kwa wema hadi kufariki hali ya kuwa ni waislamu wenye Imani sahihi na matendo mema basi mke huyu atakuwa mmoja wa wake wa mwanaume huyo peponi na mke huyu pia huko peponi atakuwa bikra hata kama huku duniani alizaa watoto 14 au zaidi!
ACHENI UZUSHI ENYI WAGALATIA.
 
Hizo ni administrative strategic statement za viongozi wa dini, ila hazina ukweli wowote, mtu kaua watu zaidi ya 50,000 watoto wadogo na wa zee afiwe mtu moja usikitike sanaa hapana haiwezekani.lazima tabasamu liwepo tu.
Aliyelianzisha nani??
Kwani walikuwa hawajui kwamba Mungu wa Yahudi Amewaapiza na kuwaagiza haya??
👇👇
Kumbukumbu la Torati 19:20-21
20 Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.

21 Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.
 
Back
Top Bottom