Mufti wa Tanzania asema maadili ya Uislamu yanataka marehemu wote wakumbukwe kwa mazuri

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mufti wa Tanzania, Aboubakar Zuberi ametoa pole kwa Watanzania wote na walioguzwa na taarifa za kifo cha Rais Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021.

Amesema kwa maadili ya dini ya kiislamu marehemu anatakiwa kukumbukwa kwa mazuri. Hivyo ametoa wito kwa watanzania kukumbuka mazuri ya Rais Magufuli.

Aidha ameomba kuendelea kuomba dua ili atakayechukua nafasi ya Rais Magufuli ajaaliwe โ€˜taufikโ€™ katika uongozi.
 
Hata wale waliokuwa wanauwa albino.
 
Asitupangie namna ya kuwakumbuka, ukifanya ubaya utakumbukwa kwa ubaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ