Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Watanzania bana, mwenzenu anafanya diplomacy nyie mnaita kujipendekeza.
Style up watanzania.
Cc: Pascal Mayalla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania bana, mwenzenu anafanya diplomacy nyie mnaita kujipendekeza.
Style up watanzania.
Cc: Pascal Mayalla
Huyu Mufti kusema ukweli huwa namwelewa sana. Ni Mzalendo na anaipenda nchi yake kwa dhati. Laiti kama tungekuwa na viongozi wote wa dini wenye kaliba yake!View attachment 2830417
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Paul Makonda leo tarehe 1 December 2023 amemtembelea na kumshukuru Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally kwa kumuombea na kuanae katika nyakati zote alizo zipitia Ndg Makonda na kuendelea kupata Baraka zaidi.
Mwenezi Makonda amefanya hivyo ikiwa ni muendelezo wa ushirikiano na Viongozi wa Dini katika kufanya kazi, kwani anatambua ndio sehemu kubwa inayochochea uwepo wa Amani katika Taifa kutokana na maombi yao.
Kwa upande wa Mufti Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally amempokea na kumfanyia Dua maalum ndugu Paul Makonda na kumuahidi kuendeleza ushirikiano na nakuombea katika kuhakikisha anafanya kazi zake vyema kwa lengo la kumsaidia Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan , kwa manufaa ya Watanzania na Taifa kwa Ujumla.
1 December, 2023
#KaziIendelee
View attachment 2830420View attachment 2830423
😂😂...Kuna dua huenda huwa anaombwa Lucifer siyo Mungu.
View attachment 2830417

Sasa nasubiria tuu, 2025 mnipe tuu maua yangu pale nilipo waambia Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke hivyo you can never tell for sure with politics, anything can happen!, hivyo bado inawezekana kabisa bandiko hili Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... ni very valid, Maza anamalizia tuu awamu ya Magufuli, kisha 2025, the game is on again!.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Ukisoma kwa jicho la ndani kabisa, ukituliza kichwa kweli na kuacha akili ya kawaida ifanye kazi, utagundua kijana yule machachari anayo nguvu kubwa tusioijua.
Mimi naamini kabisa kijana akituliza kichwa kidogo, akakua kifikra zaidi, busara kdg ikaongezeka... no doubt atakua ni mtoto pekee mpakwa mafuta wa kuja kutuvusha kwenda kaanani.
Kiukweli 2025 kuna watu watashangaa sana!, na watashangaa sana!.Niliwahi kuandika hapa jukwaani kwamba Makonda ndio Rais ajaye baada ya Samia raia wakanishukia but time will tell. Jamaa ana uthubutu wa hali ya juu na anakubalika na wananchi kupita maelezo.
Jamaa ni jasiri na haogopi mtu wala kitu chochote.
Hayumbishwi wala hatishwi na kitu chochote.
Halafu ana " a saviour aura " watu wakimuona wana muona mkombozi na mtetezi wa maisha yao...
Adui zake wana tetemeka na kumuogopa kama mtu alie toa sadaka ya kuwatisha na kuwoagopesha adui zake vile.
Watu kama Makonda ndo wanapataga wafuasi watiifu kwa sababu kwa nature ya binadamu huwa anamkubali na kumuamini sana binadamu jasiri.
Halafu ni lichapa kazi kinoma noma.
Jamaa atakuja kuwa Rais na watu watashangaa.
Wewe piga John walker yako tu leo ijumaa, huyo Manyama hana lolote.Kiukweli 2025 kuna watu watashangaa sana!, na watashangaa sana!.
P
TakatakaView attachment 2830417
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Paul Makonda leo tarehe 1 December 2023 amemtembelea na kumshukuru Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally kwa kumuombea na kuanae katika nyakati zote alizo zipitia Ndg Makonda na kuendelea kupata Baraka zaidi.
Mwenezi Makonda amefanya hivyo ikiwa ni muendelezo wa ushirikiano na Viongozi wa Dini katika kufanya kazi, kwani anatambua ndio sehemu kubwa inayochochea uwepo wa Amani katika Taifa kutokana na maombi yao.
Kwa upande wa Mufti Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally amempokea na kumfanyia Dua maalum ndugu Paul Makonda na kumuahidi kuendeleza ushirikiano na nakuombea katika kuhakikisha anafanya kazi zake vyema kwa lengo la kumsaidia Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan , kwa manufaa ya Watanzania na Taifa kwa Ujumla.
1 December, 2023
#KaziIendelee
View attachment 2830420View attachment 2830423
HahahahWewe piga John walker yako tu leo ijumaa, huyo Manyama hana lolote.
Hakuna kosa litakalojirudia kumkabidhi Msukuma nchi hii.
Chukuwa hii post fungia kwenye maktaba yako.
Mtu pekee Msukuma ambaye unaweza kupewa nafasi ya juu ambayo siyo Urais ni Dotto Biteko tu.
Huyo jambazi wenu anatumika kama tingatinga ili wenye akili wapite na Prado zao bila bughuza.
Mwambieni aongeze rushwa Bakwata wale hawaachi bahasha na wanakuombea dua la uongo.
Hakuna undugu kati ya mwislamu na Makafir amini hili.
Jambo la Kheri sana.View attachment 2830417
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Paul Makonda leo tarehe 1 December 2023 amemtembelea na kumshukuru Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally kwa kumuombea na kuanae katika nyakati zote alizo zipitia Ndg Makonda na kuendelea kupata Baraka zaidi.
Mwenezi Makonda amefanya hivyo ikiwa ni muendelezo wa ushirikiano na Viongozi wa Dini katika kufanya kazi, kwani anatambua ndio sehemu kubwa inayochochea uwepo wa Amani katika Taifa kutokana na maombi yao.
Kwa upande wa Mufti Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally amempokea na kumfanyia Dua maalum ndugu Paul Makonda na kumuahidi kuendeleza ushirikiano na nakuombea katika kuhakikisha anafanya kazi zake vyema kwa lengo la kumsaidia Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan , kwa manufaa ya Watanzania na Taifa kwa Ujumla.
1 December, 2023
#KaziIendelee
View attachment 2830420View attachment 2830423
Hujakosea kabisaMufti au mganga wa kienyeji ? Namfahamu alikuwa ni mganga wa kienyeji akiishi pale Ufipa St. Karibu na ofisi za chadema.