Mufti Watanzania Dkt. Abubakari Zuberi Ally amfanyia dua maalum Paul Makonda

Hujakosea kabisa

Miaka nenda rudi alikuwa akifanya hizo shuguli za -----

Ngoja tuishie hapo

Ova
Hayo ni majungu sasa, kama unauhakika na hiyo kazi kwanini unaogopa kuitaja?
Kafir wewe.
 
Kituo kinachofuata kwa Askofu malasusa kisha kwa mwamposa huku wasabato mkijiandaa.

Vilinge hivyo ni given kama Pai.
 
View attachment 2830417

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Paul Makonda leo tarehe 1 December 2023 amemtembelea na kumshukuru Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally kwa kumuombea na kuanae katika nyakati zote alizo zipitia Ndg Makonda na kuendelea kupata Baraka zaidi.

Mwenezi Makonda amefanya hivyo ikiwa ni muendelezo wa ushirikiano na Viongozi wa Dini katika kufanya kazi, kwani anatambua ndio sehemu kubwa inayochochea uwepo wa Amani katika Taifa kutokana na maombi yao.

Kwa upande wa Mufti Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally amempokea na kumfanyia Dua maalum ndugu Paul Makonda na kumuahidi kuendeleza ushirikiano na nakuombea katika kuhakikisha anafanya kazi zake vyema kwa lengo la kumsaidia Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan , kwa manufaa ya Watanzania na Taifa kwa Ujumla.

1 December, 2023
#KaziIendelee

View attachment 2830420View attachment 2830423
Mzee wa michanganyo , kumekucha
Haya ngoja tuone mwisho wake
 
VIONGOZO wa Dini zetu ni Wanasiasa kabisa

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom