Mufti Watanzania Dkt. Abubakari Zuberi Ally amfanyia dua maalum Paul Makonda

Huyu Mufti kusema ukweli huwa namwelewa sana. Ni Mzalendo na anaipenda nchi yake kwa dhati. Laiti kama tungekuwa na viongozi wote wa dini wenye kaliba yake!
 
Kiukweli 2025 kuna watu watashangaa sana!, na watashangaa sana!.
P
 
Kiukweli 2025 kuna watu watashangaa sana!, na watashangaa sana!.
P
Wewe piga John walker yako tu leo ijumaa, huyo Manyama hana lolote.

Hakuna kosa litakalojirudia kumkabidhi Msukuma nchi hii.

Chukuwa hii post fungia kwenye maktaba yako.

Mtu pekee Msukuma ambaye unaweza kupewa nafasi ya juu ambayo siyo Urais ni Dotto Biteko tu.

Huyo jambazi wenu anatumika kama tingatinga ili wenye akili wapite na Prado zao bila bughuza.

Mwambieni aongeze rushwa Bakwata wale hawaachi bahasha na wanakuombea dua la uongo.

Hakuna undugu kati ya mwislamu na Makafir amini hili.
 
Takataka
 
Dogo anakitafuta cheo cha ukatibu mkuu kwa udi na uvumba. Natamani wampe hicho cheo, ili wagawane fito.
 
Hahahah

Makonda mzoefu na dua zao

Ova
 
Hajui JD zake huyo hayo mambo wala hayana umuhimu kwa cheo chake
 
Waislamu tumefikiwa.
1.Kaburini Chato - target ni watanzania waliompenda Magufuli
2.Kardinali Pengo- target ni wakatoliki
3.Mkuu wa Majeshi Mstaafu Mabeyo-watanzania/ vyombo vya ulinzi na usalama/mzee wa heshima kanda ya ziwa
4.Leo Sheikh- waislamu
5. Baba Askofu Malasusa- Walutheri
6.Mbowe- Maridhiano/umoja wa kitaifa 4R
7. Ruto - Hustlers 😂
7. Wanamalizia kwa Madiba

Tunajiweka safi through power of association.Yaani mlitaka aonekane na Gekul? Anayepanga matukio na appearance yuko vizuri. Zanzibar mwaja lini yakheee?

In the sun there is great heat and light, and by reflecting the greatness of the sun’s light, the moon in night also appears great. Actually the moon is by nature dark and cold, but in association with sun it has become accepted as great. Hence by association of the Great, one appears great.

—A.C. Bhaktivedanta Swami Prabhupada
 
Jambo la Kheri sana.
Ni mwanzo mwema na mzuri pia.
Kazi na sala....
 
Dogo anajua kuwa mbele ya muda, mabosi wake wanafurahi wakiona dogo anafanya kazi yao vizuri.
 
Mufti au mganga wa kienyeji ? Namfahamu alikuwa ni mganga wa kienyeji akiishi pale Ufipa St. Karibu na ofisi za chadema.
 
Yaani unamwamini makonda,sabaya,Gekul,chalamila delete ccm
 
Mufti au mganga wa kienyeji ? Namfahamu alikuwa ni mganga wa kienyeji akiishi pale Ufipa St. Karibu na ofisi za chadema.
Hujakosea kabisa

Miaka nenda rudi alikuwa akifanya hizo shuguli za -----

Ngoja tuishie hapo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…