Mugalu, Kagere na Thadeo Lwanga hawajam-impress kocha Zoran

Huwa nawapenda mashabiki wawazi na wakweli kama wewe. Hili liko Wazi Sana ndani ya Simba kuna shida Kwa Sasa, malizeni mgogoro wenu tunataka soka Sisi.
Wacha tujitahidi kumaliza tofauti zetu, naamini tutafanikiwa.
 
Muda wa kufanya hayo yote upo wapi kumbuka sasa hivi zimebaki week tatu ligi ianze
Sasa Mkurugenzi unataka kupingana na maelezo ya mwalimu ambaye amepewa mkataba wa mwaka mmoja, huku akiwekewa malengo lukuki kama vile anaviziwa ashindwe ili atimuliwe kama wenzake!

Hakuna namna! Atimiziwe tu matakwa yake, ili na yeye aweze kutumiza malengo aliyowekewa ndani ya msimu ujao.
 
Kiungo aliesajiliwa kwa pesa nyingi?! Atakua nani huyu?! Ngoja tusubiri soon zitajulikana mbivu na mbichi japo siamini kama kuna usajili wa kigeni mbovu kwa Simba msimu huu
hahahahaha,au kashindwa kumtumia
 
Okey

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kiungo aliesajiliwa kwa pesa nyingi?! Atakua nani huyu?! Ngoja tusubiri soon zitajulikana mbivu na mbichi japo siamini kama kuna usajili wa kigeni mbovu kwa Simba msimu huu
Wapi imeandikwa ni kiungo??
 

Sahih kabisa wala hujakosea, kumbukumbu ziko vzuri kiukweli tubadilike ikiwa tunataka soka letu lisonge mbele
 
Kumbe Simba inawaza kombe la CUF sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…