Mugalu, Kagere na Thadeo Lwanga hawajam-impress kocha Zoran

Mugalu, Kagere na Thadeo Lwanga hawajam-impress kocha Zoran

Huwa nawapenda mashabiki wawazi na wakweli kama wewe. Hili liko Wazi Sana ndani ya Simba kuna shida Kwa Sasa, malizeni mgogoro wenu tunataka soka Sisi.
Wacha tujitahidi kumaliza tofauti zetu, naamini tutafanikiwa.
 
Muda wa kufanya hayo yote upo wapi kumbuka sasa hivi zimebaki week tatu ligi ianze
Sasa Mkurugenzi unataka kupingana na maelezo ya mwalimu ambaye amepewa mkataba wa mwaka mmoja, huku akiwekewa malengo lukuki kama vile anaviziwa ashindwe ili atimuliwe kama wenzake!

Hakuna namna! Atimiziwe tu matakwa yake, ili na yeye aweze kutumiza malengo aliyowekewa ndani ya msimu ujao.
 
Naomba nikusahihishe kuhusu Chiko. Hakusajiliwa kabisa na Nabi, Yanga wenyewe wanajua. Yule kiungo wao Mukoko hakutaka kuwekwa kabisa benchi wakati wao walitaka Aucho acheze maana ndo mkataba wake ulivyotaka. Wakalazimika kumtema mmoja na timu iliyomchukua haikutaka kutoa fedha ndo maana wakawapa mchezaji majanga Kwa majeruhi Chico Ushindi anayecheza nafasi tofauti na waliyemtoa.
Okey

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kiungo aliesajiliwa kwa pesa nyingi?! Atakua nani huyu?! Ngoja tusubiri soon zitajulikana mbivu na mbichi japo siamini kama kuna usajili wa kigeni mbovu kwa Simba msimu huu
Wapi imeandikwa ni kiungo??
 
Unakumbuka guadiaola anakuja city, taarifa alizipata wakati huo Manuel peregrine alikuwa mzigoni city, jamaa akanza kusuggest wachizaje ambao angalau angependa wawemo kwa kuanzia!

Jamaa aliwahi kumpigia simu Gabriel Jesus kuwa ana malengo nae na kwamba akija city atakuwa bora zaidi, Sterling timu ya taifa alikuwa anabezwa Sana jamaa akamchek akamtia moyo mpaka dogo kaondoka city bado Yuko [emoji91]

Kumbuka gundogan wakat anakuja city, alikuwa na majerehi yaliyomweka mda mrefu pending lakin jamaa alilazimisha aje hivyo hivyo!

Tanzania tunahitaji kubadilika

Sahih kabisa wala hujakosea, kumbukumbu ziko vzuri kiukweli tubadilike ikiwa tunataka soka letu lisonge mbele
 
Simba sio level ya yanga, yanga Ni level ya akina mtibwa , toto , ihefu nk, Simba Ni level nyingine ya juu Sana usiifananishe na uto, akili ya Simba inawaza nusu final kwnda mbele ya CUF champions league, yanga anawaza kombe la shirikisho , mapinduzi na ngao ya jamii!

Usiifananishe Simba na Kinye FC
Kumbe Simba inawaza kombe la CUF sawa
 
Back
Top Bottom