cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Wacha tujitahidi kumaliza tofauti zetu, naamini tutafanikiwa.Huwa nawapenda mashabiki wawazi na wakweli kama wewe. Hili liko Wazi Sana ndani ya Simba kuna shida Kwa Sasa, malizeni mgogoro wenu tunataka soka Sisi.