Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Hebu mpe heshima Kanoute aisee!!, hakuna mchezaji pale utopolo anaemfikia.Msianze kutafuta mchawi Makolo fc, kinachoendelea kuwatesa ni pengo la chama na mixon, huyo kanute na banda bado saaana
Ngoja nikuulize, Ulitaka abaki ili apoteze future? Hii issue ya kuwauza wachezaji haijaanzia kwa Simba, kwa hyo acheni ukuda wenu, Man U walimuuza Christian Ronaldo akiwa kwenye ubora wake .Msianze kutafuta mchawi Makolo fc, kinachoendelea kuwatesa ni pengo la chama na mixon, huyo kanute na banda bado saaana
Hao unaowataja walikuwepo na bado tukafungwa vile vileMsianze kutafuta mchawi Makolo fc, kinachoendelea kuwatesa ni pengo la chama na mixon, huyo kanute na banda bado saaana
Fans wa bongo hao mdau hawajawahi kujielewa kamwe......yale yale ya kupenda timu badala ya mpiraNgoja nikuulize, Ulitaka abaki ili apoteze future? Hii issue ya kuwauza wachezaji haijaanzia kwa Simba, kwa hyo acheni ukuda wenu, Man U walimuuza Christian Ronaldo akiwa kwenye ubora wake .
Siyo kweli. Aliondoka baada ya mkataba kwisha.Ngoja nikuulize, Ulitaka abaki ili apoteze future? Hii issue ya kuwauza wachezaji haijaanzia kwa Simba, kwa hyo acheni ukuda wenu, Man U walimuuza Christian Ronaldo akiwa kwenye ubora wake .
Christoano aliuzwa.Siyo kweli. Aliondoka baada ya mkataba kwisha.
Huyu ndio mbumbumbu halisi..Hebu mpe heshima Kanoute aisee!!, hakuna mchezaji pale utopolo anaemfikia.
Wenzake wamemuangusha.
Mugalu aongezewe mshashara, kaupiga mwingi sana.Tafadhalini sana tuondoleeni huyu mcheza striker mkabaji na mcheza off side kila wakati kwenye club yetu kwani kazi ya kufunga magoli iliisha mshinda siku nyingi. Kiwango hana na hastahili kuchezea timu kama Simba.
Kufungwa ni matokeo tu.Huyu ndio mbumbumbu halisi..
Chama alikuwa anaibeba team au wenzie ndio walikuwa wanambeba kama huyu mariaroza?
swali na unafungwa na umechezaje?Kufungwa ni matokeo tu.
Mara ngapi Simba wamefungwa na Utopolo, Chama akiwemo?