MUGALU: Persona non grata

MUGALU: Persona non grata

Ukitazama hata mechi ya mazembe tulikufa sabab ya uzembe wake .

Ifike wakat Simba wakubali kuwa Mugalu na boko wamechoka .

Kibu Denis atafutiwe pacha maisha yaendelee .

Alafu kocha nae aache kukariri Ana mbinu za mwaka Jana tayar washamsoma abadir mfumo pia aache kukariri kuchezesha wachezaj wale wale.

Nikiri tu waz mm ni Simba damu Ila kwa huu msimu Simba kubeba ubingwa wajipange Sana Tena sana ,yanga safar hii Wana timu nzur hasa ile pacha ya bangala na aucho plus fei italeta shida Sana kwa timu nyingi.

Pia yanga wamepata mtu sahihi wa kumalizia yule mayele namwona akitupia Sana huu msimu.

Tadeo lwanga kwa mpira ule huu msimu kadi zitamhusu Sana .

Kanoute ni mtu Sana yule Ila waswas wangu upo kwa lwanga pale katikat anacheza Sana faulo .

Mugalu Mugalu Mugalu hapana aisee kila cku yeye tu jaman ,hapana nasema Bora aje okwi kuziba nafas yake.
 
Msianze kutafuta mchawi Makolo fc, kinachoendelea kuwatesa ni pengo la chama na mixon, huyo kanute na banda bado saaana
Ngoja nikuulize, Ulitaka abaki ili apoteze future? Hii issue ya kuwauza wachezaji haijaanzia kwa Simba, kwa hyo acheni ukuda wenu, Man U walimuuza Christian Ronaldo akiwa kwenye ubora wake .
 
Imenyesha, tumeona panapovuja. Ni pengo la Chama na Miquesone. Na hiyo ndio habari ya mujini, na siyo ushindi wa Yanga.
 
Ngoja nikuulize, Ulitaka abaki ili apoteze future? Hii issue ya kuwauza wachezaji haijaanzia kwa Simba, kwa hyo acheni ukuda wenu, Man U walimuuza Christian Ronaldo akiwa kwenye ubora wake .
Fans wa bongo hao mdau hawajawahi kujielewa kamwe......yale yale ya kupenda timu badala ya mpira


Yanga washatubomoa sana na hao wachezaji wakiwepo
 
Mugalu hebu aende nyumbani kwao mara moja....

Ataipata maana.....

#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Ngoja nikuulize, Ulitaka abaki ili apoteze future? Hii issue ya kuwauza wachezaji haijaanzia kwa Simba, kwa hyo acheni ukuda wenu, Man U walimuuza Christian Ronaldo akiwa kwenye ubora wake .
Siyo kweli. Aliondoka baada ya mkataba kwisha.
 
Hebu mpe heshima Kanoute aisee!!, hakuna mchezaji pale utopolo anaemfikia.

Wenzake wamemuangusha.
Huyu ndio mbumbumbu halisi..

Chama alikuwa anaibeba team au wenzie ndio walikuwa wanambeba kama huyu mariaroza?
 
Tafadhalini sana tuondoleeni huyu mcheza striker mkabaji na mcheza off side kila wakati kwenye club yetu kwani kazi ya kufunga magoli iliisha mshinda siku nyingi. Kiwango hana na hastahili kuchezea timu kama Simba.
Mugalu aongezewe mshashara, kaupiga mwingi sana.
 
Kufungwa ni matokeo tu.

Mara ngapi Simba wamefungwa na Utopolo, Chama akiwemo?
swali na unafungwa na umechezaje?
Turudi pale pale. Chama alikuwa mpaka abebwe na wenzie au alikuwa anabeba team yeye mwenyewe? Tena kwenye nyakati ngumu..

Sasa huyu mariaroza unadai anaangushwa na wenzie means anabebwa tena kiungo?
 
Back
Top Bottom