Tunao-mwaini Mungu wa haki , gonga like moja hapa!
Obheja wakili mwaminifuMahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia huru kwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, huku akipewa masharti kadhaa ya kutekeleza.
Kaijage ameachiwa huru leo, Alhamisi, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, Denisi Mpelembwa baada ya Mwendesha Mashtaka Mwandamizi wa Serikali, Jonathan Chuwa, kuiambia mahakama Serikali haina nia ya kuendelea na mashtaka hayo.
Chuwa ameiomba mahakama kumwachia huru Kaijage, akieleza uamuzi huo unahusu mashtaka ya ugaidi na uhujumu uchumi yaliyokuwa yakimkabili, ikiwa hana kosa jingine la jinai linalomkabili.
Hata hivyo, kabla ya mahakama kutoa uamuzi huo, Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Dodoma (RCO) aliwasilisha maombi yaliyoambatanishwa na kiapo, akiiomba mahakama kumwekea Kaijage masharti ya mwenendo baada ya kuachiwa huru.
Masharti ya kuachiwa
Akisoma uamuzi baada ya kusikiliza hoja hizo, Hakimu Mpelembwa amemtaka Kaijage kuwa na wadhamini wawili ambao ni wakazi wa Mkoa wa Dodoma.
Wadhamini hao wanatakiwa kuwa na barua za utambulisho kutoka mamlaka za Serikali zinazotambulika, kusaini dhamana ya maneno ya Sh5 milioni kila mmoja na kuwa na vitambulisho halali.
Aidha, mahakama imemtaka Kaijage kuripoti kwa RCO kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi kwa kipindi cha mwaka mmoja, saa 2:30 asubuhi, bila kukosa.
View attachment 3667767
Huyu shetani anayeongoza awamu hii hafai kabisa.Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia huru kwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, huku akipewa masharti kadhaa ya kutekeleza.
Kaijage ameachiwa huru leo, Alhamisi, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, Denisi Mpelembwa baada ya Mwendesha Mashtaka Mwandamizi wa Serikali, Jonathan Chuwa, kuiambia mahakama Serikali haina nia ya kuendelea na mashtaka hayo.
Chuwa ameiomba mahakama kumwachia huru Kaijage, akieleza uamuzi huo unahusu mashtaka ya ugaidi na uhujumu uchumi yaliyokuwa yakimkabili, ikiwa hana kosa jingine la jinai linalomkabili.
Hata hivyo, kabla ya mahakama kutoa uamuzi huo, Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Dodoma (RCO) aliwasilisha maombi yaliyoambatanishwa na kiapo, akiiomba mahakama kumwekea Kaijage masharti ya mwenendo baada ya kuachiwa huru.
Masharti ya kuachiwa
Akisoma uamuzi baada ya kusikiliza hoja hizo, Hakimu Mpelembwa amemtaka Kaijage kuwa na wadhamini wawili ambao ni wakazi wa Mkoa wa Dodoma.
Wadhamini hao wanatakiwa kuwa na barua za utambulisho kutoka mamlaka za Serikali zinazotambulika, kusaini dhamana ya maneno ya Sh5 milioni kila mmoja na kuwa na vitambulisho halali.
Aidha, mahakama imemtaka Kaijage kuripoti kwa RCO kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi kwa kipindi cha mwaka mmoja, saa 2:30 asubuhi, bila kukosa.
Pia soma: Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga
ok.🐒Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia huru kwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, huku akipewa masharti kadhaa ya kutekeleza.
Kaijage ameachiwa huru leo, Alhamisi, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, Denisi Mpelembwa baada ya Mwendesha Mashtaka Mwandamizi wa Serikali, Jonathan Chuwa, kuiambia mahakama Serikali haina nia ya kuendelea na mashtaka hayo.
Chuwa ameiomba mahakama kumwachia huru Kaijage, akieleza uamuzi huo unahusu mashtaka ya ugaidi na uhujumu uchumi yaliyokuwa yakimkabili, ikiwa hana kosa jingine la jinai linalomkabili.
Hata hivyo, kabla ya mahakama kutoa uamuzi huo, Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Dodoma (RCO) aliwasilisha maombi yaliyoambatanishwa na kiapo, akiiomba mahakama kumwekea Kaijage masharti ya mwenendo baada ya kuachiwa huru.
Masharti ya kuachiwa
Akisoma uamuzi baada ya kusikiliza hoja hizo, Hakimu Mpelembwa amemtaka Kaijage kuwa na wadhamini wawili ambao ni wakazi wa Mkoa wa Dodoma.
Wadhamini hao wanatakiwa kuwa na barua za utambulisho kutoka mamlaka za Serikali zinazotambulika, kusaini dhamana ya maneno ya Sh5 milioni kila mmoja na kuwa na vitambulisho halali.
Aidha, mahakama imemtaka Kaijage kuripoti kwa RCO kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi kwa kipindi cha mwaka mmoja, saa 2:30 asubuhi, bila kukosa.
Pia soma: Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga
Huu ni uhuni. Mtu anawekwa rumande muda mrefu hana kosa halafu baadae wanasem hawana nia ya kuendelea na kesi. Hawa wahuni wanatumia hii njia kukomoa watu. Bila mabadiliko ya katiba na sheria Tanzania inazidi kudidimia.Tunao-mwaini Mungu wa haki , gonga like moja hapa!
💯%.Huu ni uhuni. Mtu anawekwa rumande muda mrefu hana kosa halafu baadae wanasem hawana nia ya kuendelea na kesi. Hawa wahuni wanatumia hii njia kukomoa watu. Bila mabadiliko ya katiba na sheria Tanzania inazidi kudidimia.
Nani atalipa muda uliopotea? Nani atafidia gharama zilizotumia hadi leo? Nani atalipa athari zote?Kaijage ameachiwa huru leo, Alhamisi, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, Denisi Mpelembwa baada ya Mwendesha Mashtaka Mwandamizi wa Serikali, Jonathan Chuwa, kuiambia mahakama Serikali haina nia ya kuendelea na mashtaka hayo.