Muhadhiri wa UDOM, Melkisedek Kaijage aachiwa huru, Apewa Masharti

Muhadhiri wa UDOM, Melkisedek Kaijage aachiwa huru, Apewa Masharti

Bongo watu wanapenda sana kuoneana wakiona yanayofanyika SA leo ni mambo kama hayo watu wakichoka kuonewa wasitegemee kama amani itakuwepo hapa wanauawa polisi kama wadudu imefikia wakati akiwa anapumua wanaenda kummalizia huko huko hospital hakuna Nchi hapa kuingia na siraha hospital ni kosa kama vile umeingia na siraha Bank sasa waendelee kutesa watu wategemee wataendelea kuwasikiliza kila siku na maonezi yao..
SA kwenye dhuluma hata uwe nani watu wanakutimbia kufanya malipizo

Ova
 
Wakuu tufanyeje maana nimekasirika sana? Huu ukhanith utaendelea mpaka lini?
 
Nimesoma thread yote sijaona hata mtu mmoja amefkiria nje ya box zaidi ya wengi mnaendeshwa tu na hisia..
Ao watu wote wanaoachiwa bila masharti na kukamatwa kamatwa tena na tena au wanambiwa wa report kila siku flani ambayo hamjui anaenda kureport kitu gani wanakuaga nyoka ao..
Huyo akirudi uraiani kenge wengi sana wenye nia ya ugaidi wa kweli watajaa kwenye kumi na nane kumanina..
Kuanzia chuoni uko vijana ad huku kwenye siasa uchwara huyo jamaa teyari ni asset kwa wazee wa kazi
 
Sasa msharti ya nini wakati hajakutwa na hatia.
 
Huu ni uhuni. Mtu anawekwa rumande muda mrefu hana kosa halafu baadae wanasem hawana nia ya kuendelea na kesi. Hawa wahuni wanatumia hii njia kukomoa watu. Bila mabadiliko ya katiba na sheria Tanzania inazidi kudidimia.
Matukio kama haya yanifanya nijione raia mwema asiye na wajibu wa kuitii na kuiheshimu serekali.
 
Back
Top Bottom