Muhadhiri wa UDOM, Melkisedek Kaijage aachiwa huru, Apewa Masharti

Muhadhiri wa UDOM, Melkisedek Kaijage aachiwa huru, Apewa Masharti

Kwa hiyo hii ni adhabu ya kosa alilofanya, ambalo hata halikusikilizwa na mahakama?

Huu siyo mwendelezo wa uonevu aliofanyiwa wa kubambikiwa kesi ya ugaidi?

Nchi hii inahitaji 'overhaul' ya takataka zote hizi zilizoingizwa kwenye kuminya haki za watu.
Think tank ya hili taifa imetoboka mahali, hii sio hali ya kawaida. Yaani wanafanya mambo ambayo hata mtoto hawezi kuelewa.
 
Huu ni uhuni. Mtu anawekwa rumande muda mrefu hana kosa halafu baadae wanasem hawana nia ya kuendelea na kesi. Hawa wahuni wanatumia hii njia kukomoa watu. Bila mabadiliko ya katiba na sheria Tanzania inazidi kudidimia.
Haitoshi mkuu 'Macho'.

Uonevu wa namna hii hauwezi kuishia tu kwenye kuwa na katiba mpya.

Hawa wote wanaotenda maovu haya ni lazima wawajibike.

Kutibu uovu huu hakuwezi kuishia kwenye kuwa na katiba mpya. Ni lazima uingie ndani kabisa kusafisha uchafu huu miongoni mwa jamii.
 
Haitoshi mkuu 'Macho'.

Uonevu wa namna hii hauwezi kuishia tu kwenye kuwa na katiba mpya.

Hawa wote wanaotenda maovu haya ni lazima wawajibike.

Kutibu uovu huu hakuwezi kuishia kwenye kuwa na katiba mpya. Ni lazima uingie ndani kabisa kusafisha uchafu huu miongoni mwa jamii.
Nina nia ya dhati kushinikiza haya mabadiliko
 
Haitoshi mkuu 'Macho'.

Uonevu wa namna hii hauwezi kuishia tu kwenye kuwa na katiba mpya.

Hawa wote wanaotenda maovu haya ni lazima wawajibike.

Kutibu uovu huu hakuwezi kuishia kwenye kuwa na katiba mpya. Ni lazima uingie ndani kabisa kusafisha uchafu huu miongoni mwa jamii.
💯%.
 
Duh...!, kwa vile mimi nilisoma zamani na sija practice, hii ndio mara ya kwanza kuona DPP anatoa nole ya kiaina,
  1. kama serikali haina interest ya kuendelea na kesi, ni anapaswa kuachiwa huru bila masherti yoyote
  2. Kama ana hatia, afanye pre bargaining na DPP, ndio wamuwekee hayo masherti!
  3. Kuripoti kituo cha polisi kila ijumaa kwa kila mwezi, kwa kipindi cha mwaka mzima, ni kama amehukumiwa kifungo cha nje cha mwaka mzima!.
  4. Kitendo cha mhadhiri kurekodiwa akiwa lecture ni kuingilia academic freedom, kesi hii itakisaidia UDOM na wahadhiri wake, ama wakubali kuwa makondoo kwa kujisubmit kwa serikali kama watumishi wa serikali na sio academia, na UDOM itatoa wahitimu viazi, vilaza, maboga na matikiti, kwa wahadhiri kuongopa kufundisha critical thinking.
  5. Ujinga huu aliofanyiwa mhadhiri huyu, umewezekana kwasababu, UDOM ni chuo cha serikali, wahadhiri wake ni watumishi wa serikali per se, wakati UDSM ni an academic institution, wahadhiri wake ni ma academicians wenye academic independence ambayo UDOM hawana!.
  6. Issue ya mhadhiri huyu itakuwa chachu kwa wahadhiri wa UDOM ama kuendelea kujisubmit kwa serikali kama watumishi wa serikali, ama kuopigania uhuru wao wa academic independence ili wawe kama wenzao wa UDSM
By the way, last month, nilipata wasaa kuzungumza na VC wa UDOM, Prof. Kusiluka, nilitamani sana kumuulizia hii issue, ila kufuatia PRO wao, alivyo, nikajikuta nimeingia udhaifu wa kuepuka kuulizia swali la kesi iliyopo mahakamani, PRO akamind next time nikakosa deal!.
View: https://youtu.be/319qxgOqhS4?si=xoqoh37SvoHG8ukE
Hata ungekuwa wewe, PRO ndio huyo, utaanzia wapi kumuuliza boss wake maswali magumu?.
Ila sisi media ya Tanzania bana....!, tusameheni tuu bure!, Dr Nchimbi kajiuzulu u VP bila kutoa sababu, hakuna media imeuliza!. CCM ikamfutia uanachama bila kutoa sababu yoyote, hakuna media imeuliza!. Toka amejiuzulu, hajaonekana public, hakuna media imeuliza au kumtafuta!.
Sio kuwa hatuwezi, bali .... sisi wengine mwisho wa uwezo wetu ni kusema tuu na kuandika !, tumeandika
View attachment 3667873

Je Wajua Taifa Bila Mhimili wa 4 Huru na Imara ni Taifa Mfu?. Je Watanzania ni Mazuzu?. Gazeti la M/halisi Lisamehewe Kuandika Ukweli au ni Zuzu Tuu?​

Mzee Pasco

Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe. Hongera kwa andiko zuri
 
narogo KERATO MOMBAA Tlaatlaah Dr wa Manesi Mtoto wa Shule Nawasalimia kwa jina la Jamhuri.

Mbona hamjapita kukata viuno humu wauaji wakubwa nyie.
1. Ukileta ujinga tena mnakula misumari
-lazima ujue kutofautisha serikali/dola na kamati kuu ya tecdema.

2. Huyu kapga magoti, huwezi danganywa na pumba za tecdema eti uje kupambana na serikali..utakula vumbi!

3. Halafu mbona wewe haujawai kuuliwa vampa wewe!

Sema hyo aina ya nole imenichanganya kidogo
kaka mkubwa Pascal Mayalla naomba kamsaada hapo maana mimi ni form six na miaka mitatu chuoni kuhusu sheria
 
Back
Top Bottom