Muhadhiri wa UDOM, Melkisedek Kaijage aachiwa huru, Apewa Masharti

Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia huru Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, baada ya Serikali kueleza kuwa haina nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili, huku mahakama ikimwekea masharti ya mwenendo.

Kaijage ameachiwa huru leo, Alhamisi, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, Denisi Mpelembwa baada ya Mwendesha Mashtaka Mwandamizi wa Serikali, Jonathan Chuwa, kuiambia mahakama Serikali haina nia ya kuendelea na mashtaka hayo.

Chuwa ameiomba mahakama kumwachia huru Kaijage, akieleza uamuzi huo unahusu mashtaka ya ugaidi na uhujumu uchumi yaliyokuwa yakimkabili, ikiwa hana kosa jingine la jinai linalomkabili.

Hata hivyo, kabla ya mahakama kutoa uamuzi huo, Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Dodoma (RCO) aliwasilisha maombi yaliyoambatanishwa na kiapo, akiiomba mahakama kumwekea Kaijage masharti ya mwenendo baada ya kuachiwa huru.

Masharti ya kuachiwa

Akisoma uamuzi baada ya kusikiliza hoja hizo, Hakimu Mpelembwa amemtaka Kaijage kuwa na wadhamini wawili ambao ni wakazi wa Mkoa wa Dodoma.
Wadhamini hao wanatakiwa kuwa na barua za utambulisho kutoka mamlaka za Serikali zinazotambulika, kusaini dhamana ya maneno ya Sh5 milioni kila mmoja na kuwa na vitambulisho halali.

Aidha, mahakama imemtaka Kaijage kuripoti kwa RCO kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi kwa kipindi cha mwaka mmoja, saa 2:30 asubuhi, bila kukosa.

Pia soma: Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga
Serikali haina nia ya kuendelea na kesi hayo masharti ya kazi gani sasa ?
 
Huu ni uhuni. Mtu anawekwa rumande muda mrefu hana kosa halafu baadae wanasem hawana nia ya kuendelea na kesi. Hawa wahuni wanatumia hii njia kukomoa watu. Bila mabadiliko ya katiba na sheria Tanzania inazidi kudidimia.
Huu ni uhuni wa kupoteza watu muda wa masiha yao kama ule wa kukamata watu Ijumaa!
Ni uhuni tu hakuna sheria wala nini

Halafu mwendesha mashtaka hana nia ya kuendelea na kesi hivyo aachiwe huru.
Polisi wanamwekea mashrti ya kuripoti na dhamana! kunakitu sielewi hapa. Anaachiwaje huru kwa masharti na dhamana?
 
Huyu
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia huru Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, baada ya Serikali kueleza kuwa haina nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili, huku mahakama ikimwekea masharti ya mwenendo.

Kaijage ameachiwa huru leo, Alhamisi, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, Denisi Mpelembwa baada ya Mwendesha Mashtaka Mwandamizi wa Serikali, Jonathan Chuwa, kuiambia mahakama Serikali haina nia ya kuendelea na mashtaka hayo.

Chuwa ameiomba mahakama kumwachia huru Kaijage, akieleza uamuzi huo unahusu mashtaka ya ugaidi na uhujumu uchumi yaliyokuwa yakimkabili, ikiwa hana kosa jingine la jinai linalomkabili.

Hata hivyo, kabla ya mahakama kutoa uamuzi huo, Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Dodoma (RCO) aliwasilisha maombi yaliyoambatanishwa na kiapo, akiiomba mahakama kumwekea Kaijage masharti ya mwenendo baada ya kuachiwa huru.

Masharti ya kuachiwa

Akisoma uamuzi baada ya kusikiliza hoja hizo, Hakimu Mpelembwa amemtaka Kaijage kuwa na wadhamini wawili ambao ni wakazi wa Mkoa wa Dodoma.
Wadhamini hao wanatakiwa kuwa na barua za utambulisho kutoka mamlaka za Serikali zinazotambulika, kusaini dhamana ya maneno ya Sh5 milioni kila mmoja na kuwa na vitambulisho halali.

Aidha, mahakama imemtaka Kaijage kuripoti kwa RCO kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi kwa kipindi cha mwaka mmoja, saa 2:30 asubuhi, bila kukosa.

Pia soma: Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga
Huyu muhadhiri awe makini ikiusalama watakuwa wamemwachia ili watumie shortcut za kumpoteza kama akina Chaula na Mdude.
 
Huu ni uhuni wa kupoteza watu muda wa masiha yao kama ule wa kukamata watu Ijumaa!
Ni uhuni tu hakuna sheria wala nini

Halafu mwendesha mashtaka hana nia ya kuendelea na kesi hivyo aachiwe huru.
Polisi wanamwekea mashrti ya kuripoti na dhamana! kunakitu sielewi hapa. Anaachiwaje huru kwa masharti na dhamana?
Nchi inaendeshwa kijuha sana hii!

Halafu eti anatakiwa aripoti kwa nani sijui yule….kila wiki kwa muda wa mwaka mmoja!

Mtu asiye na hatia masharti yote ya nini hayo?

Tuna nchi ya kipumbavu sana aisee.
 
Anatakiwa kuandaa kesi kupinga hayo masharti kama hakuna makubaliano kati yake na DPP. Masharti anawekewa mtu aliyekutwa na hatia au alieingia makubaliano flani na DPP. Yeye ni mtu huru, uhuru wake hapo umeminywa bila sababu ya msingi. Hapaswi kuwekewa masharti yeyote mtu huru ambae hajakutwa na hatia.

Mahakama iache kutumika kipuuzi, kama DPP hataki kuendelea na kesi. Hakuna masharti kwa mtuhumiwa, anakuwa huru.
 
Bongo watu wanapenda sana kuoneana wakiona yanayofanyika SA leo ni mambo kama hayo watu wakichoka kuonewa wasitegemee kama amani itakuwepo hapa wanauawa polisi kama wadudu imefikia wakati akiwa anapumua wanaenda kummalizia huko huko hospital hakuna Nchi hapa kuingia na siraha hospital ni kosa kama vile umeingia na siraha Bank sasa waendelee kutesa watu wategemee wataendelea kuwasikiliza kila siku na maonezi yao..
 
Huu ni uhuni wa kupoteza watu muda wa masiha yao kama ule wa kukamata watu Ijumaa!
Ni uhuni tu hakuna sheria wala nini

Halafu mwendesha mashtaka hana nia ya kuendelea na kesi hivyo aachiwe huru.
Polisi wanamwekea mashrti ya kuripoti na dhamana! kunakitu sielewi hapa. Anaachiwaje huru kwa masharti na dhamana?
Pascal Mayalla
 
Nchi inaendeshwa kijuha sana hii!

Halafu eti anatakiwa aripoti kwa nani sijui yule….kila wiki kwa muda wa mwaka mmoja!

Mtu asiye na hatia masharti yote ya nini hayo?

Tuna nchi ya kipumbavu sana aisee.
Ina udhi sana!

uchumi tumeshindwa, sasa hata haya ya sheria yasiyohitaji certificate nayo!
Mwaka anaripoti hivi hicho si kifungo cha nje! nani katoa kifungo hicho, RCO?
Ni law of the jungle tu!

Mtu anafungwa kifungo cha nje bila hatia! hakuna anayeshtuka, si Mahakama wala nini.
 
Duh...!, kwa vile mimi nilisoma zamani na sija practice, hii ndio mara ya kwanza kuona DPP anatoa nole ya kiaina,
  1. kama serikali haina interest ya kuendelea na kesi, ni anapaswa kuachiwa huru bila masherti yoyote
  2. Kama ana hatia, afanye pre bargaining na DPP, ndio wamuwekee hayo masherti!
  3. Kuripoti kituo cha polisi kila ijumaa kwa kila mwezi, kwa kipindi cha mwaka mzima, ni kama amehukumiwa kifungo cha nje cha mwaka mzima!.
  4. Kitendo cha mhadhiri kurekodiwa akiwa lecture ni kuingilia academic freedom, kesi hii itakisaidia UDOM na wahadhiri wake, ama wakubali kuwa makondoo kwa kujisubmit kwa serikali kama watumishi wa serikali na sio academia, na UDOM itatoa wahitimu viazi, vilaza, maboga na matikiti, kwa wahadhiri kuongopa kufundisha critical thinking.
  5. Ujinga huu aliofanyiwa mhadhiri huyu, umewezekana kwasababu, UDOM ni chuo cha serikali, wahadhiri wake ni watumishi wa serikali per se, wakati UDSM ni an academic institution, wahadhiri wake ni ma academicians wenye academic independence ambayo UDOM hawana!.
  6. Issue ya mhadhiri huyu itakuwa chachu kwa wahadhiri wa UDOM ama kuendelea kujisubmit kwa serikali kama watumishi wa serikali, ama kuopigania uhuru wao wa academic independence ili wawe kama wenzao wa UDSM
By the way, last month, nilipata wasaa kuzungumza na VC wa UDOM, Prof. Kusiluka, nilitamani sana kumuulizia hii issue, ila kufuatia PRO wao, alivyo, nikajikuta nimeingia udhaifu wa kuepuka kuulizia swali la kesi iliyopo mahakamani, PRO akamind next time nikakosa deal!.
View: https://youtu.be/319qxgOqhS4?si=xoqoh37SvoHG8ukE
Hata ungekuwa wewe, PRO ndio huyo, utaanzia wapi kumuuliza boss wake maswali magumu?.
Ila sisi media ya Tanzania bana....!, tusameheni tuu bure!, Dr Nchimbi kajiuzulu u VP bila kutoa sababu, hakuna media imeuliza!. CCM ikamfutia uanachama bila kutoa sababu yoyote, hakuna media imeuliza!. Toka amejiuzulu, hajaonekana public, hakuna media imeuliza au kumtafuta!.
Sio kuwa hatuwezi, bali .... sisi wengine mwisho wa uwezo wetu ni kusema tuu na kuandika !, tumeandika
1789058058598.png

Je Wajua Taifa Bila Mhimili wa 4 Huru na Imara ni Taifa Mfu?. Je Watanzania ni Mazuzu?. Gazeti la M/halisi Lisamehewe Kuandika Ukweli au ni Zuzu Tuu?​

Mzee Pasco
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia huru Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, baada ya Serikali kueleza kuwa haina nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili, huku mahakama ikimwekea masharti ya mwenendo.

Kaijage ameachiwa huru leo, Alhamisi, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, Denisi Mpelembwa baada ya Mwendesha Mashtaka Mwandamizi wa Serikali, Jonathan Chuwa, kuiambia mahakama Serikali haina nia ya kuendelea na mashtaka hayo.

Chuwa ameiomba mahakama kumwachia huru Kaijage, akieleza uamuzi huo unahusu mashtaka ya ugaidi na uhujumu uchumi yaliyokuwa yakimkabili, ikiwa hana kosa jingine la jinai linalomkabili.

Hata hivyo, kabla ya mahakama kutoa uamuzi huo, Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Dodoma (RCO) aliwasilisha maombi yaliyoambatanishwa na kiapo, akiiomba mahakama kumwekea Kaijage masharti ya mwenendo baada ya kuachiwa huru.

Masharti ya kuachiwa

Akisoma uamuzi baada ya kusikiliza hoja hizo, Hakimu Mpelembwa amemtaka Kaijage kuwa na wadhamini wawili ambao ni wakazi wa Mkoa wa Dodoma.
Wadhamini hao wanatakiwa kuwa na barua za utambulisho kutoka mamlaka za Serikali zinazotambulika, kusaini dhamana ya maneno ya Sh5 milioni kila mmoja na kuwa na vitambulisho halali.

Aidha, mahakama imemtaka Kaijage kuripoti kwa RCO kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi kwa kipindi cha mwaka mmoja, saa 2:30 asubuhi, bila kukosa.

Pia soma: Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga
MaCCM ni majitu yenye akili za kiquma na kichoko sana. Sasa yalimshikilia wa nini kwa muda wote huo?
 
Back
Top Bottom