Serikali haina nia ya kuendelea na kesi hayo masharti ya kazi gani sasa ?Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia huru Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, baada ya Serikali kueleza kuwa haina nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili, huku mahakama ikimwekea masharti ya mwenendo.
Kaijage ameachiwa huru leo, Alhamisi, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, Denisi Mpelembwa baada ya Mwendesha Mashtaka Mwandamizi wa Serikali, Jonathan Chuwa, kuiambia mahakama Serikali haina nia ya kuendelea na mashtaka hayo.
Chuwa ameiomba mahakama kumwachia huru Kaijage, akieleza uamuzi huo unahusu mashtaka ya ugaidi na uhujumu uchumi yaliyokuwa yakimkabili, ikiwa hana kosa jingine la jinai linalomkabili.
Hata hivyo, kabla ya mahakama kutoa uamuzi huo, Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Dodoma (RCO) aliwasilisha maombi yaliyoambatanishwa na kiapo, akiiomba mahakama kumwekea Kaijage masharti ya mwenendo baada ya kuachiwa huru.
Masharti ya kuachiwa
Akisoma uamuzi baada ya kusikiliza hoja hizo, Hakimu Mpelembwa amemtaka Kaijage kuwa na wadhamini wawili ambao ni wakazi wa Mkoa wa Dodoma.
Wadhamini hao wanatakiwa kuwa na barua za utambulisho kutoka mamlaka za Serikali zinazotambulika, kusaini dhamana ya maneno ya Sh5 milioni kila mmoja na kuwa na vitambulisho halali.
Aidha, mahakama imemtaka Kaijage kuripoti kwa RCO kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi kwa kipindi cha mwaka mmoja, saa 2:30 asubuhi, bila kukosa.
Pia soma: Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga
Huu ni uhuni wa kupoteza watu muda wa masiha yao kama ule wa kukamata watu Ijumaa!Huu ni uhuni. Mtu anawekwa rumande muda mrefu hana kosa halafu baadae wanasem hawana nia ya kuendelea na kesi. Hawa wahuni wanatumia hii njia kukomoa watu. Bila mabadiliko ya katiba na sheria Tanzania inazidi kudidimia.
Dhamana tena? Kuna vitu haviko sawa. peter madeleka tunaomba ufafanuzi wa kisheriaUgaidi wa mchongo na dhamana wapi na wapi!
Huyu muhadhiri awe makini ikiusalama watakuwa wamemwachia ili watumie shortcut za kumpoteza kama akina Chaula na Mdude.Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia huru Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, baada ya Serikali kueleza kuwa haina nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili, huku mahakama ikimwekea masharti ya mwenendo.
Kaijage ameachiwa huru leo, Alhamisi, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, Denisi Mpelembwa baada ya Mwendesha Mashtaka Mwandamizi wa Serikali, Jonathan Chuwa, kuiambia mahakama Serikali haina nia ya kuendelea na mashtaka hayo.
Chuwa ameiomba mahakama kumwachia huru Kaijage, akieleza uamuzi huo unahusu mashtaka ya ugaidi na uhujumu uchumi yaliyokuwa yakimkabili, ikiwa hana kosa jingine la jinai linalomkabili.
Hata hivyo, kabla ya mahakama kutoa uamuzi huo, Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Dodoma (RCO) aliwasilisha maombi yaliyoambatanishwa na kiapo, akiiomba mahakama kumwekea Kaijage masharti ya mwenendo baada ya kuachiwa huru.
Masharti ya kuachiwa
Akisoma uamuzi baada ya kusikiliza hoja hizo, Hakimu Mpelembwa amemtaka Kaijage kuwa na wadhamini wawili ambao ni wakazi wa Mkoa wa Dodoma.
Wadhamini hao wanatakiwa kuwa na barua za utambulisho kutoka mamlaka za Serikali zinazotambulika, kusaini dhamana ya maneno ya Sh5 milioni kila mmoja na kuwa na vitambulisho halali.
Aidha, mahakama imemtaka Kaijage kuripoti kwa RCO kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi kwa kipindi cha mwaka mmoja, saa 2:30 asubuhi, bila kukosa.
Pia soma: Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga
Nchi inaendeshwa kijuha sana hii!Huu ni uhuni wa kupoteza watu muda wa masiha yao kama ule wa kukamata watu Ijumaa!
Ni uhuni tu hakuna sheria wala nini
Halafu mwendesha mashtaka hana nia ya kuendelea na kesi hivyo aachiwe huru.
Polisi wanamwekea mashrti ya kuripoti na dhamana! kunakitu sielewi hapa. Anaachiwaje huru kwa masharti na dhamana?
Ameshatubu huyo , amekubali kwamba Yesu ni bwana na mwokozi wa maisha yetu…Sidhani hii serikali na genge lake atakuwa anafuatiliwa mwisho wa siku atapotezwa
Hii nchi ina mabingwa wa kuonea wasiowapenda.Huu ni uhuni. Mtu anawekwa rumande muda mrefu hana kosa halafu baadae wanasem hawana nia ya kuendelea na kesi. Hawa wahuni wanatumia hii njia kukomoa watu. Bila mabadiliko ya katiba na sheria Tanzania inazidi kudidimia.
Pascal MayallaHuu ni uhuni wa kupoteza watu muda wa masiha yao kama ule wa kukamata watu Ijumaa!
Ni uhuni tu hakuna sheria wala nini
Halafu mwendesha mashtaka hana nia ya kuendelea na kesi hivyo aachiwe huru.
Polisi wanamwekea mashrti ya kuripoti na dhamana! kunakitu sielewi hapa. Anaachiwaje huru kwa masharti na dhamana?
Ina udhi sana!Nchi inaendeshwa kijuha sana hii!
Halafu eti anatakiwa aripoti kwa nani sijui yule….kila wiki kwa muda wa mwaka mmoja!
Mtu asiye na hatia masharti yote ya nini hayo?
Tuna nchi ya kipumbavu sana aisee.
Duh...!, kwa vile mimi nilisoma zamani na sija practice, hii ndio mara ya kwanza kuona DPP anatoa nole ya kiaina,
MaCCM ni majitu yenye akili za kiquma na kichoko sana. Sasa yalimshikilia wa nini kwa muda wote huo?Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia huru Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, baada ya Serikali kueleza kuwa haina nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili, huku mahakama ikimwekea masharti ya mwenendo.
Kaijage ameachiwa huru leo, Alhamisi, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, Denisi Mpelembwa baada ya Mwendesha Mashtaka Mwandamizi wa Serikali, Jonathan Chuwa, kuiambia mahakama Serikali haina nia ya kuendelea na mashtaka hayo.
Chuwa ameiomba mahakama kumwachia huru Kaijage, akieleza uamuzi huo unahusu mashtaka ya ugaidi na uhujumu uchumi yaliyokuwa yakimkabili, ikiwa hana kosa jingine la jinai linalomkabili.
Hata hivyo, kabla ya mahakama kutoa uamuzi huo, Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Dodoma (RCO) aliwasilisha maombi yaliyoambatanishwa na kiapo, akiiomba mahakama kumwekea Kaijage masharti ya mwenendo baada ya kuachiwa huru.
Masharti ya kuachiwa
Akisoma uamuzi baada ya kusikiliza hoja hizo, Hakimu Mpelembwa amemtaka Kaijage kuwa na wadhamini wawili ambao ni wakazi wa Mkoa wa Dodoma.
Wadhamini hao wanatakiwa kuwa na barua za utambulisho kutoka mamlaka za Serikali zinazotambulika, kusaini dhamana ya maneno ya Sh5 milioni kila mmoja na kuwa na vitambulisho halali.
Aidha, mahakama imemtaka Kaijage kuripoti kwa RCO kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi kwa kipindi cha mwaka mmoja, saa 2:30 asubuhi, bila kukosa.
Pia soma: Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga
Sasa kama wamemwachia huru, hayo masharti ni ya nini?
hawezi kuendelea kama kawaida, amekuwa disturbed psychologically!Kheri kwake na Familia yake kwa kurejea uraiani tena.
Hope ataendelea na majukumu yake km kawaida.