Muhadhiri wa UDOM, Melkisedek Kaijage aachiwa huru, Apewa Masharti

mapolisi ni makatili sana!
 
Nchi ya hovyo hii. Kupotezeana muda tu
 
Tumeruhusu ma-boko haramu yanayokunywa damu kuingia ikulu, what do we expect?
 
Mhaya naye huyu , wahaya noma .Tumeamua
 
Kesi kama hizi zinachafua taswira ya Taifa, kimataifa.
 
Umeeleweka P!
 
Aidha, mahakama imemtaka Kaijage kuripoti kwa RCO kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi kwa kipindi cha mwaka mmoja, saa 2:30 asubuhi, bila kukosa.
Kwa hiyo hii ni adhabu ya kosa alilofanya, ambalo hata halikusikilizwa na mahakama?

Huu siyo mwendelezo wa uonevu aliofanyiwa wa kubambikiwa kesi ya ugaidi?

Nchi hii inahitaji 'overhaul' ya takataka zote hizi zilizoingizwa kwenye kuminya haki za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…