Muhadhiri wa UDOM, Melkisedek Kaijage aachiwa huru, Apewa Masharti

Think tank ya hili taifa imetoboka mahali, hii sio hali ya kawaida. Yaani wanafanya mambo ambayo hata mtoto hawezi kuelewa.
 
Huu ni uhuni. Mtu anawekwa rumande muda mrefu hana kosa halafu baadae wanasem hawana nia ya kuendelea na kesi. Hawa wahuni wanatumia hii njia kukomoa watu. Bila mabadiliko ya katiba na sheria Tanzania inazidi kudidimia.
Haitoshi mkuu 'Macho'.

Uonevu wa namna hii hauwezi kuishia tu kwenye kuwa na katiba mpya.

Hawa wote wanaotenda maovu haya ni lazima wawajibike.

Kutibu uovu huu hakuwezi kuishia kwenye kuwa na katiba mpya. Ni lazima uingie ndani kabisa kusafisha uchafu huu miongoni mwa jamii.
 
Nina nia ya dhati kushinikiza haya mabadiliko
 
💯%.
 
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe. Hongera kwa andiko zuri
 
narogo KERATO MOMBAA Tlaatlaah Dr wa Manesi Mtoto wa Shule Nawasalimia kwa jina la Jamhuri.

Mbona hamjapita kukata viuno humu wauaji wakubwa nyie.
1. Ukileta ujinga tena mnakula misumari
-lazima ujue kutofautisha serikali/dola na kamati kuu ya tecdema.

2. Huyu kapga magoti, huwezi danganywa na pumba za tecdema eti uje kupambana na serikali..utakula vumbi!

3. Halafu mbona wewe haujawai kuuliwa vampa wewe!

Sema hyo aina ya nole imenichanganya kidogo
kaka mkubwa Pascal Mayalla naomba kamsaada hapo maana mimi ni form six na miaka mitatu chuoni kuhusu sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…