Muhadhiri wa UDOM, Melkisedek Kaijage aachiwa huru, Apewa Masharti

SA kwenye dhuluma hata uwe nani watu wanakutimbia kufanya malipizo

Ova
 
Wakuu tufanyeje maana nimekasirika sana? Huu ukhanith utaendelea mpaka lini?
 
Nimesoma thread yote sijaona hata mtu mmoja amefkiria nje ya box zaidi ya wengi mnaendeshwa tu na hisia..
Ao watu wote wanaoachiwa bila masharti na kukamatwa kamatwa tena na tena au wanambiwa wa report kila siku flani ambayo hamjui anaenda kureport kitu gani wanakuaga nyoka ao..
Huyo akirudi uraiani kenge wengi sana wenye nia ya ugaidi wa kweli watajaa kwenye kumi na nane kumanina..
Kuanzia chuoni uko vijana ad huku kwenye siasa uchwara huyo jamaa teyari ni asset kwa wazee wa kazi
 
Sasa msharti ya nini wakati hajakutwa na hatia.
 
Huu ni uhuni. Mtu anawekwa rumande muda mrefu hana kosa halafu baadae wanasem hawana nia ya kuendelea na kesi. Hawa wahuni wanatumia hii njia kukomoa watu. Bila mabadiliko ya katiba na sheria Tanzania inazidi kudidimia.
Matukio kama haya yanifanya nijione raia mwema asiye na wajibu wa kuitii na kuiheshimu serekali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…