Muhaho wa Samia: alitaja taasisi zote zitakazomtembeza na viatu kichwani akashindwa kuitaja ICC

Muhaho wa Samia: alitaja taasisi zote zitakazomtembeza na viatu kichwani akashindwa kuitaja ICC

Dadi Barnea

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
746
Reaction score
1,512
Wote mmemsikia na mmemuona hata alivyokuwa akizungumza huku hawezi hata kuwatazama wajumbe wake wa tume yake ya mchongo.

Soni kama yote na huku alijikuta yeye mwamba kuua watoto wadogo katika namna ya kihalifu kabisa. Yan huyu ni mhalifu sugu.

Na mimi swali moja najiuliza kwanini alilenga kuua vijana wa kiume tu zaidi? Alikusudia kuangamiza Taifa? Kama alivyofanya Pharao?

Basi leo akajimwambafy kujidai anaweza kutaja taasisi za kimataifa za haki zinazoweza kumlaza na viatu kama AU, SADC, UN, EU….alipokumbuka kuna ICC akaishia hapo hapo akaanza kutema pumba zisizoeleweka.

Meaning kila akisikia neno “ICC” anapiga labda hata yowe akiwa kule ofisini kwake.

Huyu tunaye wazee hadi aite maji mmaa.

#Viva Tanganyika
#Saa ya Ukombozi ni Sasa
 
Huyu mpaka hapo alipofikia, tayari amekuwa ni mfa maji. Hata hiyo 2030 sijui kama atatoboa.
 
Nilishangaa kusimamisha Bunge dakika kadhaa kutambua vifo vya wahalifu watoto wa watu unawaita wahalifu kweli sasa ikawaje ghafla kutambua wahalifu na wakapewa heshima Bungeni? mara Wakenya leo vijana wamelipwa 😂😂
 
Back
Top Bottom