Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Qur'an – Surah Al-Ahqaf 46:9
Hapa ameamua kunawa kuwa hajui lolote ambalo yeye atafanywa na hao wanaomfuata pia nao hajui watafanywa nini siku ya Kiyama. Amenawa hataki nongwa na mtu.
"Sema: Mimi si wa kwanza katika Mitume, wala sijui yatakayofanywa kwangu wala kwenu. Mimi nafanya ila kufuata yanayofunuliwa kwangu..."
Hapa ameamua kunawa kuwa hajui lolote ambalo yeye atafanywa na hao wanaomfuata pia nao hajui watafanywa nini siku ya Kiyama. Amenawa hataki nongwa na mtu.