Muhamad hajui yeye na wanaomfuata watafanywa nini siku ya Kiyama

Muhamad hajui yeye na wanaomfuata watafanywa nini siku ya Kiyama

Tatizo mna viherehere hamsomi mkaelewa ,msijaribu kuichokonowa Qurani mtaumbuka.

Ni wapi ilisemwa kila mtu atauchukuwa mzigo wake mwenyewe ,,,,, Whaaaapi ? iwekwe biblia au Quran ,sasa kama wewe unaona Mtume Muhammadi kakosea basi bibilia ndio imevuruga kabisa na kupigilia msumari ,iyo mistati aya si mnaimbaga kanisani. AAu kanisani kwenye nyimbo wameongezea siku iyo 😀
Surah Al-A'raf (7:188):

"Sema: Siwezi kujiletea manufaa wala madhara ila kwa atakavyo Allah. Na lau kuwa ningelijua ghayb ningelijizidishia mema, wala mabaya yasingelinifikia..."
 
Ukisoma 7:187 utajua alikuwa anaelezea habari za watu kutaka watajiwe siku ya kiama kitu ambacho ni siri ya Mungu mwenyewe
Ana mabaya ambayo ameyafanya alishindwa hata kujizuia.

🤣🤣🤣🤣🤣 Ilishuka toka wapi? Muddy alikuwa akibanwa au akiona kina changamoto anashusha aya inayofuta aya inayoleta aya iliyo bora zaidi. Janja janja na utapeli. Hajui yeye na ninyi mtafanywa nini kwa madhambi aliyokuwa nayo.
Hakuna kitabu kimeandikwa kwa siku moja au nabii amesema vitu vyote siku moja, ndio hivyo hivyo kwa Mohamadi na yeye alikuwa analeta ufunuo kwa nyakati husika wala hakuna tatizo lolote, wapi watakwenda Quran 40:40 imesha sema, na bahati nzuri Quran iko wazi mpaka mfano wa hiyo pepo umetajwa, si kila siku mnasema bikra 72 leo hamjui waislamu tunakwenda wapi !!! Mnashangaza sanaaaa 😀
 
Ana mabaya ambayo ameyafanya alishindwa hata kujizuia.

Surah Al-A'raf (7:188):
Yule alikuwa binadamu anaweza kufanya baya ila hoja yako imejibiwa kuwa wapi waislamu tutakwenda wapi, Mohamadi hakuwa Mungu, nimewaambia uzi kama hizi uwe unanitag haraka si mnataka majibu
 
Ana mabaya ambayo ameyafanya alishindwa hata kujizuia.

Surah Al-A'raf (7:188):
Hoja yako ni mabaya au wapi waislamu watakwenda? binadamu yeyote lazima akubali kuwa anaweza kufanya mabaya kama binadamu, ndio maana kwa ubaya huo waisrael walipatikana kwa mtu na dada yake kuliwa na Yakobo , wakati dunia ina watu kibao wasio ndugu
 
Yule alikuwa binadamu anaweza kufanya baya ila hoja yako imejibiwa kuwa wapi waislamu tutakwenda , Mohamadi hakuwa Mungu
نص الرواية (Kiarabu):

"كان إذا وُلد الصبي في زمن النبي صلى الله عليه وسلم، فدفعوه إليه ليحنكه، فأُتي بصبي فبصق في فيه، ثم دفع لسانه في فيه، فجعل الصبي يمصه."
(المصدر: السيوطي في الخصائص الكبرى)

Tafsiri ya Kiswahili:

“Mtoto mchanga alipokuwa akizaliwa wakati wa Mtume (S.A.W), walikuwa wakimpeleka kwake kwa ajili ya tahnik (kuweka kitu kitamu kwenye fizi). Basi mtoto mmoja akaletwa kwake, Mtume akatema mate mdomoni mwa mtoto, kisha akaingiza ulimi wake mdomoni mwa mtoto, na mtoto akaanza kuunyony
 
نص الرواية (Kiarabu):

(المصدر: السيوطي في الخصائص الكبرى)

Tafsiri ya Kiswahili:
Uislamu sio jambo la mitaani unaatakiwa kuleta kitabu gani na namba ya Hadeeth kwanza kabla hujataka mjadala, hii maana yake mada ya juu imeeleweka barabara sasa unaamia kwengine
 
Uislamu sio jambo la mitaani unaatakiwa kuleta kitabu gani na namba ya Hadeeth kwanza kabla hujataka mjadala, hii maana yake mada ya juu imeeleweka barabara sasa unaamia kwengine
1. Surat Al-Ahqaf – 46:9

Sema: “Mimi si jambo jipya miongoni mwa Mitume. Wala sijui kitakachofanywa kwangu wala kwenu. Mimi siufuati ila ufunuo ninaopewa, wala mimi si chochote ila mwonyaji wa wazi.”

2. Surat Al-A’raf – 7:188

Sema: “Mimi similiki kwa nafsi yangu manufaa wala madhara, ila kwa alivyotaka Mwenyezi Mungu. Na lau ningelijua yaliyofichikana, bila shaka ningelijizidishia mema, wala madhara yasingelinifikia. Mimi si chochote ila mwonyaji na mbashiri kwa watu wanaoamini.”
 
Kama umelewa usijadiliane na watu, hapa kuna aya yeyote mtume kanyonya mtoto mchanga ulimi? unaruka ruka kama maharage
u):

"كان إذا وُلد الصبي في زمن النبي صلى الله عليه وسلم، فدفعوه إليه ليحنكه، فأُتي بصبي فبصق في فيه، ثم دفع لسانه في فيه، فجعل الصبي يمصه."

Click to expand...
(المصدر: السيوطي في الخصائص الكبرى)

Tafsiri ya Kiswahili:

“Mtoto mchanga alipokuwa akizaliwa wakati wa Mtume (S.A.W), walikuwa wakimpeleka kwake kwa ajili ya tahnik (kuweka kitu kitamu kwenye fizi). Basi mtoto mmoja akaletwa kwake, Mtume akatema mate mdomoni mwa mtoto, kisha akaingiza ulimi wake mdomoni mwa mtoto, na mtoto akaanza kuunyonya ulimi wa Muhamad
 
Extremists Galatians ni watu duni na weupe sana kichwani , tukitaka kuweka maandiko directly kama ya avyosomeka si mtakimbia hapa hayo Maboko ya kwenye Bible ? sema ndio hivyo Waislamu hatuna haja na mada uchwara kama hizi.
 
u):

(المصدر: السيوطي في الخصائص الكبرى)

Tafsiri ya Kiswahili:
Nimekwambia acha bangi taja kitabu na namba ya hadeeth, uislamu ni dini ya reference sio maneno matupu kama kijiwe cha kahawa
 
Nimekwambia acha bangi taja kitabu na namba ya hadeeth, uislamu ni dini ya reference sio maneno matupu kama kijiwe cha kahawa
Ndiyo, kuna riwaya zinazotajwa katika baadhi ya vitabu vya hadith ambazo zinahusiana na Muhammad kuweka ulimi wake katika kinywa cha mtoto, hasa kuhusu mjukuu wake, Imam Hasan bin Ali.

Riwaya Zinazotajwa

1. Musnad Ahmad: Imepokelewa kutoka kwa Mu'awiya bin Abi Sufyan kwamba alisema:

"Nilimwona Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW) akinyonya ulimi au midomo ya Al-Hasan bin Ali. Hakika ulimi au midomo ambayo Mtume wa Mwenyezi Mungu ameinyonya haitaguswa na Moto wa Jahannam."

Riwaya hii inapatikana katika Musnad Ahmad,

2. Al-Mu’jam al-Kabir: Imepokelewa kutoka kwa Abu Huraira kwamba Mtume (SAW) alimsikia Hasan na Husayn wakilia kwa kiu, na kwa kuwa hakukuwa na maji, aliwaweka ulimi wake mdomoni mwao hadi walipotulia.

Riwaya hii imeelezwa kuwa na daraja la hasan na wanazuoni kama Al-Haythami wameikubali katika Majma’ al-Zawa’id.
 
Back
Top Bottom